Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Dominik Szoboszlai

Jamaa amekuwa wa moto sana sasa hivi ni kama mfumo wa mwalimu ulikuwa hauja muingia vizuri katika mishipa ya damu yake ya mpira

Sasa hivi hataki masikhara kabisa , Jamaa kwa sasa hana muda wa kurelax akiwa kiwanjani , anatembea maeneo yote ambayo kiungo anatakiwa afike na kutimiza majukumu yake,

Kuna Wakati akiwa hana mpira atalazimisha makosa kwa wapinzani mpaka mpira uwe katika himaya yake, kwa sasa anatengeneza nafasi nzuri na jicho la goli limeanza kutoa tongo tongo na kuwa na uwezo wa kuona ipasavyo.

Nadhani zile kelele za mashabiki kumtaka arejee ktk ubora wake alizifanyia kazi haswa , hakutaka kuona yupo Liverpool kama mchezaji wa akiba bali mchezaji anae takiwa kuwa kiwanjani Kila Wakati na kuipambania timu.

Watu walisema bora Jones kuliko huyu Jamaa.
 
Bado hajakaa sawa, nadhani kwenye wale starters yeye ndio bado ana lag behind hata dogo Elliot angekuwa wa moto kumzidi kama sio injuries.

Szobo bado hajawa yule tunaemjua ila I believe it's a work on progress, atamuelewa tu mwalimu anataka nini kutoka kwake.
 
Watu watakuwa waliedit maandishi mpaka sauti. Kijana wa kieritrea huyo hawezi kushabikia timu tofauti na Ze Ganaz
Hakuna Cha kuedit Wala nini
Jamaa hawezi kwenda timu ambayo EPL yao ya mwisho ilikuwa miaka zaidi ya 20 iliyopita
 
Hakuna Cha kuedit Wala nini
Jamaa hawezi kwenda timu ambayo EPL yao ya mwisho ilikuwa miaka zaidi ya 20 iliyopita
Hicho ni kichaka tu watu wanajifichia. Wachezaji kibao wanatamani kuja kucheza boli Ze Ganaz. Huyo shida yake ni bei juu sana hatuwezi tena kumpata. Na yeye mwenyewe anajua hata atamani vipi kuja kwetu, hawezi kutoka pale kwa hiyo bei yake. Unachooona hapo ni maneno ya mkosaji, na mkosaji ni Isak.
 
Timu ndogo ars8 tulieni
Hadi wachezaji wa new castle wanaeakataa Wajaa laana 🤣
 
Timu ndogo ars8 tulieni
Hadi wachezaji wa new castle wanaeakataa Wajaa laana 🤣
Ameshajikatia tamaa huyo. Anajua hawezi kuja kwetu na huko aliko hakuna atachopata mpaka astaafu. Acha sisi tuendelee kutamba na boys wetu Havertz.
 
Seen it bro. Ujue nachojua mpaka sasa game haina cleensheet hii kwa timu zote hizi.

Secondly nampenda Iraola sio muoga atafunguka sana tu atakuja aggressively especially first half watauwasha sana.. Na ninawaoa advantage ya kupata even two goals up then we will turn into a win.

Hii aggressive ndio raha ya LFC ilipo, zitapigwa turns over na combination play ya maana sana. Hapo ni Trent, Robbo na Konate waamkie kulia, individual errors zitatucost kuliko tactical issues.

In the last 10 matches vs B'mouth we won 9 and lost 1.
Cleansheet haipo
Watatutangulia goli/magoli
Target side ni kulia kwa Trent.
But LFC will win pale Vitality Stadium regardless the form they have currently. Otherwise Injury or red card iharibu mipango.

Ynwa"
 
Angalau tumemalizana na hawa Brentford na Forest.

Bado Bournemouth na Everton Away tufunge hesabu.

Hao ndiyo visiki kwetu kwa upande wa Midtable Teams.
I myself, I'm not counting B'mouth as our kisiki. Hao toffees (Everton) ndio kisiki hasa, hawa wakiwa pale kwao, huwa hajali ubora alionao au alionao LFC, yeye anachojua ni kukaza wasipate points wakizidiwa basi walau draw, zaidi sana LFC wakiwa kwenye race ya ubingwa wanakomaa mno. Sio nawa underate B'mouth but we will get three points from them


Ynwa
 
YNWA!
 
Everton washambuliwe kama nyuki watakaa yaani mechi hiyo inamfaa nunez awachoshe walegee kama mlenda then majistriker ya dunia yaanze kufungilia mafuriko aaah kudadeki hawawezi zuia mvua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…