Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tulifungwa na PSV na leo PLYMOUTH sababu kubwa ilikuwa ni ku- resting key players, Why squad depth is so important. This is where we need to strengthen in the summer.

If something happens to Virgil, Salah ,Gapko, Graven, Szob tutakuwa kwenye trouble kubwa, Our squad inahitaji more quality and depth to stay competitive .
 
This man nini kimemkuta. Was excellent last season nilitegemea a big step forward,This season ana struggle haonekani kama ni best option tena kwa season ijayo .
FB_IMG_17391268961585623.jpeg
 
Pray for Newcastle United

1. Carabao loading...........
2. FA ❌
3. EPL
4. UCL
5. Ngao
6. Super Cup
7. CWC

Mapambano yanaendelea
 
Haya ni matusi makubwa sana kwetu ila wacha tuvumilie tu
View attachment 3230998
Yaani mkuu aibu sana aisee. Viungo alowaweka ni Elliot,Nyoni na Mc Connell yaani wakina chiesa,Diaz na jota ikabidi warudi nyuma kufata mipira maana kule mbele wamesimama tu wamepiga low block ya hatari kama forest vile 😀,

Halafu ukiangalia nje hakuna Kiungo wakuingia labda wanaweza kubadilisha mchezo.

Elliot na yeye alikuwa anacheza na mikono kwenye box jamaa wakapata penalty biashara ikaishia hapo. Ikabaki kupasiana quansah na endo maana jamaa nyuma wa narudi 9 na muda mwingine 10 kabisa 😀yaani aibu sana 😀.

Hatuna cha kumfanya slot 😀.
 
Tulifungwa na PSV na leo PLYMOUTH sababu kubwa ilikuwa ni ku- resting key players, Why squad depth is so important. This is where we need to strengthen in the summer.

If something happens to Virgil, Salah ,Gapko, Graven, Szob tutakuwa kwenye trouble kubwa, Our squad inahitaji more quality and depth to stay competitive .
Noma sana
 
FSG hakuna kusajiri kikosi hiki kinatosha
 
Poleni title contenders wenzetu. Tuliwaaibisha sana kwa kufungwa na kutolewa na katimu tulikokazidi uwezo. Tukajua kuwa nyie hamuwezi kukutwa na noma hii. Tena kwa katimu cha daraja la mbali huko. Kumbe tumewaza sivyo...
 
Back
Top Bottom