kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Lazima tukubali matokeo ya mpira ni mchezo wa kikatili sana klop aliwahi panga chekea kama hivi first eleven ikiwa Qatar world club champion ilikuwa siku nzuri timu ikashinda elliot imekuwa ni bad luck kama siku siyo hata wangekuwa hao mahiri tungeondoka tu!Yaani mkuu aibu sana aisee. Viungo alowaweka ni Elliot,Nyoni na Mc Connell yaani wakina chiesa,Diaz na jota ikabidi warudi nyuma kufata mipira maana kule mbele wamesimama tu wamepiga low block ya hatari kama forest vile 😀,
Halafu ukiangalia nje hakuna Kiungo wakuingia labda wanaweza kubadilisha mchezo.
Elliot na yeye alikuwa anacheza na mikono kwenye box jamaa wakapata penalty biashara ikaishia hapo. Ikabaki kupasiana quansah na endo maana jamaa nyuma wa narudi 9 na muda mwingine 10 kabisa 😀yaani aibu sana 😀.
Hatuna cha kumfanya slot 😀.
YWNA!