King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,117
- 6,897
Slot is Medicore.
Mkuu unataka kusema na kumaanisha bora tungebaki na point 56 kuliko 57 tulizonazo sasa?Matokeo yanaumiza wakati mwingine unatafuta wa kumuangushia jumba bovu ila jamaa wamecheza kimkakati mwisho wa siku tulichostahili ndicho tulichopata derby siku zote ina matokeo ya ajabu sana middle leo amebanwa amekuwa mchovu jamaa walikua na utimamu mwingi wa kimwili!.....bora kufungwa kuliko hizi point moja moja hazina mpango!
Hapo kwenye Emirates tu, kwan Emirates ni uwanja wa timu gani? si Arsenal?Mkuu usiniambie nimechochora, ina maana tulianzia Anfield?
Tulivyoonyesha Michael Oliver ni kichomi tukaambiwa Arsenal tunadeka.
Jana ilikua red card festival
Nadhani wanamaanishaMkuu unataka kusema na kumaanisha bora tungebaki na point 56 kuliko 57 tulizonazo sasa?
Hii point mnayoitumia mara kwa mara kops wenzangu ya bora kufungwa kuliko ku draw huwa inanitatiza brain sana kimahesabu. Hesabu nilizofundishwa zinakataa kabisa hiyo sentensi. Sijui ni kwangu tu au lah.
wako yupo nafasi ipi?Huyu kocha wenu ana hasira kama Mzee Jengua.
Mtafika naye wapi?
Ya piliwako yupo nafasi ipi?
Na wetu yupo nafasi ipi?
Au umesahau kocha wenu mpendwa wenger alikuwa mpiga madumuu hodari?
misimu 20 yote huwa unainjuries?Ya pili
Ya kwanza
Sijaelewa
Arsenal imeanza ikiwa na injuries na inaendelea ikiwa na injuries hatuna shida na mtu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kazi sanaaa
Kwenye derby bhana sare ya jana japo inatuumiza ni na matokeo safi kwetu any day of the week.Fair results.
FA cup out kiporo kimechacha wachezaji waliopumzishwa Leo wamekuwa wazito sijui wamechakata sana mbususu
Kikosi cha Arsenal cha kuanzia 2021 ndiyo kikosi chenye matumaini tangu Wenger aondoke.misimu 20 yote huwa unainjuries?
haya kuanzia 2021 top achievement yenu ni ipi?Kikosi cha Arsenal cha kuanzia 2021 ndiyo kikosi chenye matumaini tangu Wenger aondoke.
Same na nyinyi kua na kikosi chenye matumaini ilianza 2015
Washabiki wa Everton Walishika hilo bango jana, wanadai bora Kabati lisilo na makombe ni vyepesi kulihamisha kwa miaka 30.Hapa wanamaanisha nini?
Kwahiyo kwa maoni yako ungetamani matokeo ya jana tupoteze kabisa ili mechi ijayo tushinde? 😄,Nadhani wanamaanisha
Mechi kama ni mbili
Ni heri kushinda Moja na kupoteza moja kuliko kudroo zote.
Tuna kiu tofauti kabisa na wamiliki aisee yaani FSG wao kumaliza big 4 ni ushindi na achievement na kusogea zaidi kwenye UCL pia kwao ni ushindi.100% wamiliki wa Liverpool huwa hawana muda na mambo ya makombe
Haiwezekani shabiki niliyepo huku Porini nililia usajili wa DM mmoja makini dirisha kubwa la usajili, wakaishia kutuaminisha kwamba Grav anatosha
Dah wao wakishaingiza faida mfukoni mwao mambo mengine hawajali na hawana uchungu na timu