King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,117
- 6,897
Washabiki wa Everton Walishika hilo bango jana, wanadai bora Kabati lisilo na makombe ni vyepesi kulihamisha kwa miaka 30.
Dongo walilotupiga ni kwamba miaka 30 hatujabeba EPL tulikuwa tunabeba vikombe vya hovyo(vidogo) kwahyo bora wao ambao hawakubeba kabisa maana kabati lao ni jepesi kuliko sisi ambao tumebeba uchafu tukajaza kwenye kabati.
Ni namna ya kujifariji tu kwasababu kwenye hiyo miaka 30 bila ya EPL ndani yake muna 2 Champion League, 2 Supercup, 1 Europa Cup, 1 Club World Cup na 1 EPL achana na FA na Carabao sasa sijui wanapata wapi ujasiri wa kujiona wao Zero Trophy kuwa ni bora?