King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,117
- 6,897
Msimu mmoja uliopita mlishinda nini?
Miwili?
Mitatu?
Usilete story za carabao na FA.
Carabao na FA sio Trophies?
Hebu tume maana yako wewe Trophy ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msimu mmoja uliopita mlishinda nini?
Miwili?
Mitatu?
Usilete story za carabao na FA.
Sasa mkuu hebu wewe tupe mtizamo wako.
And that means a draw rather than a loss.Mtazamo wangu ni kuwa siku zote ikinibidi kupoteza basi nachagua "Lesser of the two evils"
Sasa huna kombeItakua huelewi niliposema sisi hatuna kombe so tulichonacho ni nilichosema
Mpira tunaujuaMost fans hawaujui mpira vizuri bado, wao huwa hawajui aspects nyingine za mchezo bali ni matokeo ya ushindi tu. Hawajui ni namna gani kupoteza mechi kunaweza kuathiri momentum ya team, hawajui kupoteza mechi kunavyoweza kuathiri morale ya squad.
Hawajui kushinda mechi kunavyoweza ku build morale na momentum ya team. Team inaweza kuwa underdog lakini kwamfano ikishinda game mbili mfululizo huwa wanapata morale na ku build momentum unashangaa wanashinda games mfululizo.
Mfano Nottingham na Bournemouth hawa jamaa recently wamekuwa form sana kwasababu ya kuweza kubuld momentum, winning streaks zinaletwa na morale baada ya ushindi. Everton wenyewe form yao ya hivi karibuni ni hivyo hivyo.
Vice versa sasa, angalia Arseal walipoanza ku drop points walikuwa tia maji tia maji mpaka sasa hawaeleweki. Angalia team kama Man city baada ya kupoteza game mbili tu aliendelea kupigwa na mpaka sasa hajajipata. So guys you should know the difference between and winning or earning a point.
Mjue pia impact ya kupoteza mechi na inavyoweza kuiwia team ngumu ku bounce back. So namshangaa sana mtu anaesema bora kufungwa kuliko draw, sometimes hizo maths hali apply kwenye real footballing world.
Tujifunze kuangalia mpira na kuelewa kila spect ya football in general, nje na ndani ya uwanja.
Halafu hii match ni derby na tena sio derby tu ni MERSEYSIDE DERBY ambayo katika games 10 zilizopita za hii derby Draw ni 4, Everton kashinda 2, Liverpool tumeshinda 4 na katika hizo 4 tatu tumeshinda Anfield moja tu ndio tumeshinda away.
Saint Anne kipara kipya choza choza
In such a case arsenal ana trophy piaCarabao na FA sio Trophies?
Hebu tume maana yako wewe Trophy ni nini?
You did it for for more than thirty years so chillSasa huna kombe
Ni kama mtu amewekewa chakula anaishia kunawa mikono bila kula.
Bado bado hujajua. Mihemko haitakiwi. Hakunaga anaechagua option ya kupoteza kwenye mchezo wowote.Mpira tunaujua
Hizo athari za draw watajua huko kocha na menejiment yake
Sisi tunachojua,
Kufungwa mechi moja na kushinda moja ni bora maana ni points tatu hizo
Kuliko kudraw zote ambapo hizi ni points mbili.
Hiyo option ipo kwa sisi tunaohesabu pointsBado bado hujajua. Mihemko haitakiwi. Hakunaga anaechagua option ya kupoteza kwenye mchezo wowote.
Hilo ndilo jibu?You did it for for more than thirty years so chill
Nipo ofisini kikombe kipo nyumbaniHilo ndilo jibu?
Onyesha kikombe. 😅😅😂
okay endeleeni kuhesabu.Hiyo option ipo kwa sisi tunaohesabu points
😂😂😂😂😂😂😂Nipo ofisini kikombe kipo nyumbani
Sawa Mkuuokay endeleeni kuhesabu.
Hahahah, sasa mfano mechi 2 pointi 6 na mechi 2 draw na mechi 2 kupoteza bora nini?Hiyo option ipo kwa sisi tunaohesabu points
Zikiwa mechi6Hahahah, sasa mfano mechi 2 pointi 6 na mechi 2 draw na mechi 2 kupoteza bora nini?
And that means a draw rather than a loss.
In such a case arsenal ana trophy pia
Draw ndizo huwa zinaicost hii timu hadi inapoteza ubingwa kwa ujinga wa kujifariji na drawHahahah, sasa mfano mechi 2 pointi 6 na mechi 2 draw na mechi 2 kupoteza bora nini?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] King Ngwaba katoka kuongelea hili la miaka 30 hapo juu dhidi ya mashabiki wa Everton waliokua wanawabeza.You did it for for more than thirty years so chill