Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Most fans hawaujui mpira vizuri bado, wao huwa hawajui aspects nyingine za mchezo bali ni matokeo ya ushindi tu. Hawajui ni namna gani kupoteza mechi kunaweza kuathiri momentum ya team, hawajui kupoteza mechi kunavyoweza kuathiri morale ya squad.

Hawajui kushinda mechi kunavyoweza ku build morale na momentum ya team. Team inaweza kuwa underdog lakini kwamfano ikishinda game mbili mfululizo huwa wanapata morale na ku build momentum unashangaa wanashinda games mfululizo.

Mfano Nottingham na Bournemouth hawa jamaa recently wamekuwa form sana kwasababu ya kuweza kubuld momentum, winning streaks zinaletwa na morale baada ya ushindi. Everton wenyewe form yao ya hivi karibuni ni hivyo hivyo.

Vice versa sasa, angalia Arseal walipoanza ku drop points walikuwa tia maji tia maji mpaka sasa hawaeleweki. Angalia team kama Man city baada ya kupoteza game mbili tu aliendelea kupigwa na mpaka sasa hajajipata. So guys you should know the difference between and winning or earning a point.

Mjue pia impact ya kupoteza mechi na inavyoweza kuiwia team ngumu ku bounce back. So namshangaa sana mtu anaesema bora kufungwa kuliko draw, sometimes hizo maths hali apply kwenye real footballing world.

Tujifunze kuangalia mpira na kuelewa kila spect ya football in general, nje na ndani ya uwanja.

Halafu hii match ni derby na tena sio derby tu ni MERSEYSIDE DERBY ambayo katika games 10 zilizopita za hii derby Draw ni 4, Everton kashinda 2, Liverpool tumeshinda 4 na katika hizo 4 tatu tumeshinda Anfield moja tu ndio tumeshinda away.

Saint Anne kipara kipya choza choza
Mpira tunaujua
Hizo athari za draw watajua huko kocha na menejiment yake
Sisi tunachojua,
Kufungwa mechi moja na kushinda moja ni bora maana ni points tatu hizo
Kuliko kudraw zote ambapo hizi ni points mbili.
 
Mpira tunaujua
Hizo athari za draw watajua huko kocha na menejiment yake
Sisi tunachojua,
Kufungwa mechi moja na kushinda moja ni bora maana ni points tatu hizo
Kuliko kudraw zote ambapo hizi ni points mbili.
Bado bado hujajua. Mihemko haitakiwi. Hakunaga anaechagua option ya kupoteza kwenye mchezo wowote.
 
And that means a draw rather than a loss.

I'm talking about general gain rather than individual results

The guy you're battling said he can chose to lose one game and win one game just to be awarded 3 points out of 6.

And you said better to draw both two games to get 2 points out of 6 cuz losing will gonna demoralise the players.

In case of psychological effects you're right! But in case of achievement the other guy is right.

2 can't be 3
 
You did it for for more than thirty years so chill
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] King Ngwaba katoka kuongelea hili la miaka 30 hapo juu dhidi ya mashabiki wa Everton waliokua wanawabeza.

"Ni namna ya kujifariji tu kwasababu kwenye hiyo miaka 30 bila ya EPL ndani yake muna 2 Champion League, 2 Supercup, 1 Europa Cup, 1 Club World Cup na 1 EPL achana na FA na Carabao sasa sijui wanapata wapi ujasiri wa kujiona wao Zero Trophy kuwa ni bora?"

Haya nyinyi Arsenyo nje ya Carabao na FA tuonesheni kombe lolote la maana mlilonalo kwa kipindi cha miongo miwili iliyopita.
 
Back
Top Bottom