Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ni kweli kuna wakati unahitaji kushinda kama jana.
Winning ugly tunasema.
Upo sahihi 2024 ilikua Liverpool kipindi cha pili chini ya Slot tunakua clinical, more sprinting, more cohesion, more compact lakin sasa tupo less compact, less intensity, no game plan kabisa namna bora ya kuzuia kukosa pointi 3.
Kila timu hapa ina ndoto tofauti.

YNWA
 

Though we're in a right position but I doubt about Slot's football brain.
 
Though we're in a right position but I doubt about Slot's football brain.
Man timu imechoka ata yeye kakili ivo na ni kwel wachezaj wamechoka,tumetoka kwenye mchakachaka na everton so sikutegemea mchezo mzur kwa wolves na nina shukuru sana tulipata magoli mapema,kocha hakuna kitu anaweza fanya kama timu imechoka na si kosa lake ufinyu wa kikosi ni kilio cha miaka sasa liverpool na kila miaka ya karibuni ili tatizo linakuja tuumiza mwishoni.

Tuna bahat majeruh sio ya kutisha kama wenzetu ila ni suala la muda tu na sisi icho kikombe tutakinywea japo siombei kabisa.January tulitakiwa kuingia sokon kwa DM mmoja ili grav awe anapumzika.
Konate spana mkononi,jiulize akiumia VAN itakuaje kwel tuombe sana majeruh yapite mbali na sisi,jana niliangalia benchi la man u adi unamuonea kocha huruma.
 

Mimi nazungumzia mbinu kwenye michezo tofauti sizungumzii Physical fitness ya mchezo wa jana
 
Arsenal tumepigwa fine ya 65,000 pounds na FA kwa kummaindi yule refa mhuni aliyempa mchezaji wetu kasi nyekundu kwenye mechi ya Wolves. Refa hakutukanwa wala kuguswa ila alizingirwa na wachezaji kama 10 hivi.

Je, nyie na Everton mmeshapigwa au mnategemea kupigwa fine kwa zile fujo za Goodison?
 
Sikutamani afanye ch

Slot nahisi fine inaweza muhusu ila kwa wachezaj hapana
 
Jamani eehe mimi naona endapo tunabeba epl , kwenye party natamani Newcastle na wolves wawe mabaunsa getini. Halafu Nottingham forest na Ipswich ni wapasua kuni za kupikia kwenye sherehe . Wapishi jikoni awe totii ,Everton na Leicester . Kamati ya upambaji awe Southampton ,Bournemouth na Aston villa. Vinywaji nadhani itapendeza awekwe man utdπŸ€—πŸ€—πŸ€— na beshte yake Chelsea. Mtumbuizaa wageni awe arsenal akisindikizwa na bendi ya Fulham. Manchester city atakuwa kwenye section ya kuongoza magari ya wageni waalikwa kwenye parking lot. Nani nimemsahau?🀣🀣🀣🀣
 
Waliobaki ndio watakuwa wageni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…