Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

yaan kuna washabiki wa LFC wanaamini tutapoteza hili kombe kwa Arsenal?
Angekuwa Man City ningekuwa na hofu ila sio arsenal aise.

Hakuna anayeamini kwa 100% kuwa tutapoteza hili kombe kwa Arsenal ila mimi ni katika wanaomini kuwa tunaweza kupoteza hili kombe kwa Arsenal iwapo wao wataendeleza Consistency waliyonayo ya sasahivi na sisi tutaendelea na Form hii ya sashivi ya kutokuwa na uhakika wa kushinda Away.
 
Mechi mbili zinazofuata za Away versus Astonvilla & Man City zinaweza kutoa picha halisi wapi tunaelekea.
 
Hii ngoma ngumu,aston villa wamechangamka sana na wapo sharp,ila sisi sasa kukaa na mpira kipengele.
 
Liver wanatakiwa watulie wacheze mpira...hii biashara ya kutegemea counter attack itawa cost....kazeni majirani....mechi ijayo na kina Marmoush mnakutana nao leo mkiteleza hakyanani j2 mtakuwa na Hali ngumu sana
 
Back
Top Bottom