Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Thank you

But wataru needs more game time…. Ni mzuri sana

Fame ya jana was ours to lose

Uchezaji wa Wataru kwa mpira wa sasa sio rahisi kucheza ndani ya Liverpool.

Sasahivi viuongo ni wakabaji na wachezeshaji ndiyomana wanapiga assist na kufunga kabisa.
Lakini DM aina ya Wataru ni kukaba tu huu uchezaji umeshapitwa na wakati ndiyomana hapati namba.

Uchezaji huo ulikufa na kina Claudio Makelele.
 
Nunez Nunez nimemtetea sana huyu jamaa lakini nadhani nafika wakati nikubali huyu anaweza kutugharimu, namlaumu kocha kumtoa Jota maana na uhakika zile chance mbili Jota hawezi kukosa nauhakika. Nunez aingie tu kama mechi tumeshashinda. Ni mchezaji pekee hata akiwa 50/50 chance basi 80% unajuwa atakosa 20% labda hakuwa hivi Benfica. Akituliza kichwa chake tu na vile ananguvu angekuwa hatari sana lakini anakosa umakini, mpira wa ku tap tu maana cross imekuja kwa nguvu na yeye anatumia nguvu ndio maana mpira huoooo, weka mguu tu.
 
Jana tuliopata over 6 chances

I don’t see us losing any other game Kwa sasa labda ya citu

But Anna needs to play rotation sasa…. We are two injuries away from a total meltdown

Hakuna mechi ambayo hatupati chance za kufunga.

Huwa tunapata na hatushindi.

Mimi siku zote napima mwendo wa timu kupitia matokeo yake ya sasa.

Siwezi kuipima Liverpool kwa matokeo ya November.
 
Kuna muda hata kama umeshainua mtu bench bora umrushie tu koti arudi kusubiri. Pale Slot ni kama aliua momentum ya team tuanze ku build upya.

Unafikiri nafasi ile ya Nunez pale Jota anakuacha?
Hata Jota alikosa chance nyingi tu, ukiacha assist aliyotoa kwa Salah kuna chance angekuwa Gapco zingehesabika ni magoli
 
Tumebakisha mechi 5 za Awa ambazo 3 tu ndiyo ngumu.
Kati ya hiyo 3 migumu tunaweza kupoteza michezo miwili kati ya hiyo na kutoa sare na Brighton.

Versus Man City - loss
Versus Chelsea - loss
Versus Brighton - draw
Versus Leicester - Win
Versus Fulham - Win

Kati ya points 15 tunaweza ambulia points 7 tu hapo na kupoteza points 8 hii ni based on our current away performance kuanzia January mpaka jana usiku.

Arsenal akishinda leo usiku tutakuwa tumemuacha kwa points 5 hivyo tukipoteza hizo points 8 tutakuwa na Deni la points 3 hii manayake ni lazima tumfunge tukikutana.

Hivyo kitu cha Msingi tushinde mechi zote za Anfield ikiwemo dhidi ya Arsenal basi moja kwa moja tunakuwa mabingwa kwasababu Arsenal naye hawezi kushinda michezo yote 14 mfululizo iliyobakia.

Kiufupi kutokana na Mtaji mkubwa wa points tuliojiandalia hapo awali yani kuongoza kwa points 9 imetusaidia sana kwasababu sio jambo rahisi mtu kutupita kilaini hizo point ni nyingi kwa kumfukuza mtu na ukampita tofauti na watu wanavyodhani.

Mathematically tuna nafasi kubwa sana ya kuwa mabingwa.
Bado tabu Iko palepale...hzi dharau ndo zitakuja kuwa cost Wolves ilitakiwa iwaamshe chap na kuona tyri kuna tatizo hapa.....mechi ngumu bado ni nyingi....City..Brighton...Chelsea...hata Fulham away ni ngumu ingawa mnawadharau....j2 mkipata draw au kufungwa presha inaanza kuwavaa wachezaji....Arsenal hzo mechi wazingue labda ila wakishinda mentally inawa bust na kuona chance ipo na hapo ndo mauzauza yatakapoanza.....kazaneni majirani mambo bdo sio mepesi
 
Tumebakisha mechi 5 za Awa ambazo 3 tu ndiyo ngumu.
Kati ya hiyo 3 migumu tunaweza kupoteza michezo miwili kati ya hiyo na kutoa sare na Brighton.

Versus Man City - loss
Versus Chelsea - loss
Versus Brighton - draw
Versus Leicester - Win
Versus Fulham - Win

Kati ya points 15 tunaweza ambulia points 7 tu hapo na kupoteza points 8 hii ni based on our current away performance kuanzia January mpaka jana usiku.

Arsenal akishinda leo usiku tutakuwa tumemuacha kwa points 5 hivyo tukipoteza hizo points 8 tutakuwa na Deni la points 3 hii manayake ni lazima tumfunge tukikutana.

Hivyo kitu cha Msingi tushinde mechi zote za Anfield ikiwemo dhidi ya Arsenal basi moja kwa moja tunakuwa mabingwa kwasababu Arsenal naye hawezi kushinda michezo yote 14 mfululizo iliyobakia.

Kiufupi kutokana na Mtaji mkubwa wa points tuliojiandalia hapo awali yani kuongoza kwa points 9 imetusaidia sana kwasababu sio jambo rahisi mtu kutupita kilaini hizo point ni nyingi kwa kumfukuza mtu na ukampita tofauti na watu wanavyodhani.

Mathematically tuna nafasi kubwa sana ya kuwa mabingwa.
Ile kauli ya biashara ni asubuhi kwenye mpira ina maana sana.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mimi mwenyewe jana usiku nilivyoina hii comment ya chawa kindakindaki wa Masingeli nilicheka kinyama, nikaanza kuona kumbe hizi Arsenyau mdogo mdogo zinaanza kuelewa somo, maana tayari zimeshaanza kua na busara.
Oyaaa mwanangu arsenal2004 akili zimeanza kurudi sehemu yake au jana vyombo vilikua vimekolea sana kichwani?
 
Kuna muda hata kama umeshainua mtu bench bora umrushie tu koti arudi kusubiri. Pale Slot ni kama aliua momentum ya team tuanze ku build upya.

Unafikiri nafasi ile ya Nunez pale Jota anakuacha?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kipindi cha kwanza huyo Jota alikosa nafasi ngapi za wazi akiwa yeye tu na kipa?
 
Kuna muda hata kama umeshainua mtu bench bora umrushie tu koti arudi kusubiri. Pale Slot ni kama aliua momentum ya team tuanze ku build upya.

Unafikiri nafasi ile ya Nunez pale Jota anakuacha?

Please, stop this.

Jota missed 2 open chances in the first half.

So, ni Nunez tu ndiye hatakiwi ku-miss chances?

Hii open chance aliyomiss Jota in the first half na ile ya Nunez ambayo ilitokana na maamuzi mabovu ya Szobo (ambayo mmeyakalia kimya kwasababu zenu binafsi), ipi ilikuwa ngumu? kipi kinakufanya ufikirie Jota angefunga kama angepata ile chancs ya Nunez?

umezingatia vitu vilivyofanya tu-draw game ya jana, kabla ya kum-single out Nunez? na kwanini Nunez tu? sababu ni zipi?

Jota, missed this open/easy chance in the first half, but not a single post kutoka kwako au "wachambuzi" waliom-single out Nunez, tuache hizi mambo.
20250220_090012.jpg
 
Nunez chance inayosemwa, you'd think ilikuwa on the plate.

Yes, he's a striker, so una-expect angefanya better there, but suala ni kuwa ilikuwa ni easy chance kama ya Jota? NO.

Nunez was marked, he had no time, he had to be sharp kwenye maamuzi, but he failed, na ana-deserve kukosolewa, but he earns a lot of money, and kwa kucheza tu at the top level, alitakiwa ku-do better or even kufunga kabisa, hakuna excuses, na sipo hapa kumtetea Nunez, but fairness iko wapi? Jota had all the TIME in the world, he was unmarked, he was free, he was facing Martinez na goal tu, but he skied the ball bila pressure yeyote, that goal couldve killed Villa momentum, because ile chance ilikuja seconds/a minute baada ya Villa kusawazisha, Jota akazingua, but its only Nunez who gets the blame.

Kwa vipindi vingine, ungeweza kumsamehe Jota, kwa ile chance, but kipi alichofanya msimu huu kinacho-warrant msamaha? so why Nunez tu?

Then what was Szobo doing here? you're an attacking MF, kipi kinakufanya utoe pass, tena ya out of of the post kwa mwenzako ambaye tayari yuko marked, wakati wewe upo clear on GOAL?

"Wachambuzi" tumechukua hata nafasi ya kujadili uzembe wa Szobo hapa? au it doesnt fit the agenda? because Nunez missed a chance?
20250220_090103.jpg
 
Back
Top Bottom