King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,117
- 6,897
Thank you
But wataru needs more game time…. Ni mzuri sana
Fame ya jana was ours to lose
Jana tuliopata over 6 chances
I don’t see us losing any other game Kwa sasa labda ya citu
But Anna needs to play rotation sasa…. We are two injuries away from a total meltdown
Usivute banghi kama kichwa ni kidogo!Dogo nakuamuru unyamaze.
Amri!
Ile ni biasharaHapo kwenye kipengele cha + cash ndiyo wale wahuni wa FSG hawapataki kabisa wanaweza kupotezea hivihivi
Hata Jota alikosa chance nyingi tu, ukiacha assist aliyotoa kwa Salah kuna chance angekuwa Gapco zingehesabika ni magoliKuna muda hata kama umeshainua mtu bench bora umrushie tu koti arudi kusubiri. Pale Slot ni kama aliua momentum ya team tuanze ku build upya.
Unafikiri nafasi ile ya Nunez pale Jota anakuacha?
Bado tabu Iko palepale...hzi dharau ndo zitakuja kuwa cost Wolves ilitakiwa iwaamshe chap na kuona tyri kuna tatizo hapa.....mechi ngumu bado ni nyingi....City..Brighton...Chelsea...hata Fulham away ni ngumu ingawa mnawadharau....j2 mkipata draw au kufungwa presha inaanza kuwavaa wachezaji....Arsenal hzo mechi wazingue labda ila wakishinda mentally inawa bust na kuona chance ipo na hapo ndo mauzauza yatakapoanza.....kazaneni majirani mambo bdo sio mepesiTumebakisha mechi 5 za Awa ambazo 3 tu ndiyo ngumu.
Kati ya hiyo 3 migumu tunaweza kupoteza michezo miwili kati ya hiyo na kutoa sare na Brighton.
Versus Man City - loss
Versus Chelsea - loss
Versus Brighton - draw
Versus Leicester - Win
Versus Fulham - Win
Kati ya points 15 tunaweza ambulia points 7 tu hapo na kupoteza points 8 hii ni based on our current away performance kuanzia January mpaka jana usiku.
Arsenal akishinda leo usiku tutakuwa tumemuacha kwa points 5 hivyo tukipoteza hizo points 8 tutakuwa na Deni la points 3 hii manayake ni lazima tumfunge tukikutana.
Hivyo kitu cha Msingi tushinde mechi zote za Anfield ikiwemo dhidi ya Arsenal basi moja kwa moja tunakuwa mabingwa kwasababu Arsenal naye hawezi kushinda michezo yote 14 mfululizo iliyobakia.
Kiufupi kutokana na Mtaji mkubwa wa points tuliojiandalia hapo awali yani kuongoza kwa points 9 imetusaidia sana kwasababu sio jambo rahisi mtu kutupita kilaini hizo point ni nyingi kwa kumfukuza mtu na ukampita tofauti na watu wanavyodhani.
Mathematically tuna nafasi kubwa sana ya kuwa mabingwa.
Ile kauli ya biashara ni asubuhi kwenye mpira ina maana sana.Tumebakisha mechi 5 za Awa ambazo 3 tu ndiyo ngumu.
Kati ya hiyo 3 migumu tunaweza kupoteza michezo miwili kati ya hiyo na kutoa sare na Brighton.
Versus Man City - loss
Versus Chelsea - loss
Versus Brighton - draw
Versus Leicester - Win
Versus Fulham - Win
Kati ya points 15 tunaweza ambulia points 7 tu hapo na kupoteza points 8 hii ni based on our current away performance kuanzia January mpaka jana usiku.
Arsenal akishinda leo usiku tutakuwa tumemuacha kwa points 5 hivyo tukipoteza hizo points 8 tutakuwa na Deni la points 3 hii manayake ni lazima tumfunge tukikutana.
Hivyo kitu cha Msingi tushinde mechi zote za Anfield ikiwemo dhidi ya Arsenal basi moja kwa moja tunakuwa mabingwa kwasababu Arsenal naye hawezi kushinda michezo yote 14 mfululizo iliyobakia.
Kiufupi kutokana na Mtaji mkubwa wa points tuliojiandalia hapo awali yani kuongoza kwa points 9 imetusaidia sana kwasababu sio jambo rahisi mtu kutupita kilaini hizo point ni nyingi kwa kumfukuza mtu na ukampita tofauti na watu wanavyodhani.
Mathematically tuna nafasi kubwa sana ya kuwa mabingwa.
Sasa unazungumzia kusajiri wewe kama nani?Mimi nimezungumzia asajiliwe DM ambayo anacheza Mac Allister (back up yake ni Wataru) sio Gravenberch.
Sasa habari za Gravenberch zimeingiaje hapa?
Umekumbuka kujifunga taulo zenu zile lakini? 😃Sasa unazungumzia kusajiri wewe kama nani?
Wewe ndio unatoa hela ?
Haya sajiri sasa tuone
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mimi mwenyewe jana usiku nilivyoina hii comment ya chawa kindakindaki wa Masingeli nilicheka kinyama, nikaanza kuona kumbe hizi Arsenyau mdogo mdogo zinaanza kuelewa somo, maana tayari zimeshaanza kua na busara.Uyu ni Flano ??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kipindi cha kwanza huyo Jota alikosa nafasi ngapi za wazi akiwa yeye tu na kipa?Kuna muda hata kama umeshainua mtu bench bora umrushie tu koti arudi kusubiri. Pale Slot ni kama aliua momentum ya team tuanze ku build upya.
Unafikiri nafasi ile ya Nunez pale Jota anakuacha?
Kuna muda hata kama umeshainua mtu bench bora umrushie tu koti arudi kusubiri. Pale Slot ni kama aliua momentum ya team tuanze ku build upya.
Unafikiri nafasi ile ya Nunez pale Jota anakuacha?
Chance alizokosa Jota ingekuwa Nunez leo hata kulogwa angeendewa kwa waganga auwawe kabisa. Nina hakika Nunez angepata dakika alizopata Jota jana tungekuwa na magoli mengi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kipindi cha kwanza huyo Jota alikosa nafasi ngapi za wazi akiwa yeye na kipa tu?
Mkuu halio sio aisee. Kwa sasa tumshukuru zaidi Allison maana ndio anatubakisha kwenye hizi mbio aisee.Mechi mbili zinazofuata za Away versus Astonvilla & Man City zinaweza kutoa picha halisi wapi tunaelekea.