Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hiki kichaka cha kuonewa sijui gunners walikitoa wapi na kwa sababu zipi!
Kila timu EPL imewahi kupitia kipindi cha kuonewa au kupendelewa na maamuzi mabovu ya marefarii na sio kitu kinafanyika kwa kudhamiria.
Ndiyo hali halisi. Tunajua kuwa uwezo pia umechangia ila ukweli usiopingika ni kwamba uonevu dhidi yetu upo kwa kiasi kikubwa kuliko timu zingine, haswa zile ndogo. Yaani sisi tunaonewa kama au zaidi ya timu ndogo sema tu class na quality yetu huwa inatubeba na kutuwezesha kushinda mechi licha ya uhuni tunaofanyiwa. Mfano mzuri ni game ya Wolves.

Msimu huu nadhani zaidi ya nusu ya mechi ambazo tulipoteza points 3 na kupata sare au kufungwa zilichangiwa na dhulma hizi. Isingekuwa hivyo tungekuwa tunaongea mengine sasa hivi kuhusu title race.

Pia si msimu huu tu, hata iliyopita tungekuwa mabingwa 😃😃😃 kama tungetendewa haki. Tumezoea hali hii. Sisi lazima tukimbie pale wengine wanapotembea tu 😀😀. Na hatusemi sisi tu, mpaka mashabiki wa timu zingine na neutrals waongea ukweli (sio wale vichwa ngumu wanaoongea kishabiki) wanalisema hili mara kibao tu.
 
Sisi adui yetu sio liVAR ni PGMOL
 
Sisi adui yetu sio liVAR ni PGMOL
Kabisa.
FA, PGMOL halafu Sp*rs, Manyumbu na Kenge. Kidogo pia Mama C115y, ila hawa Livakuku ni washkaji zetu tu ambao tunawasapoti ila wanaanza kutukataa kiaina. Wanaona ubingwa wameshaupata hivyo wanaanza kuwa kama wale ma magraduates waliopata ajira mapema na kuanza kula maisha huku wakiwakwepa na kuwadharau classmates wao ambao bado wanasota na bahasha za brown mitaa ya Posta.
 
Hiki kichaka cha kuonewa sijui gunners walikitoa wapi na kwa sababu zipi!
Kila timu EPL imewahi kupitia kipindi cha kuonewa au kupendelewa na maamuzi mabovu ya marefarii na sio kitu kinafanyika kwa kudhamiria.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hawa Arsenyo ni wa kuwachukulia tu kama walivyo, wengi wao wanasumbuliwa matatizo ya kisaikolojia yaliyo changanyika na inferiority complex.
Ni sawa na wale maskini wavivu kila wakiwaona matajiri utasikia wanadanganyana "yule ni freemason".
Mechi za wazi kabisa wanazobebwa na refa halafu bado wanakosa ushindi utawasikia wao na kocha wao wanalalamikia wamefanyiwa hujuma mpira umejazwa upepo mwingi makusudi ili kila wanapotaka kufunga mpira upae juu.
Hawa ni wa kuishi nao tu hivihivi.
 
Sasa mnaongoza kundi Uefa afu mnatolewa round 16 hata robo hamgusi🤣🤣🤣🤣

PSG atawapiga nje ndani yule kocha wa psg ni zaid ya Pep🤣🤣🤣

Kuku broiler kwaheri uefa
 
Jao neves --vitinya----fabian

Kwa sasa duniani hakuna mido km.hiyo

Huyo jao neves ni homa ya dunia anakaba ad kivuli 🤣🤣

Kwaheri kuku broiler
 
Hii inamaanisha sisi tukipita tunakutana na Club Brugge au Aston Villa while Arsenal atakutana na Real Madrid ama?
Yeah.
Na tukipita hapo tunakutana na mshindi kutoka hiyo branch ya kina Arsenal au real madrid au A. Madrid
 
🚨 Mo Salah: “I respect Haaland a lot… he’s a striker, so his life is a bit EASIER”. 👀

“For a winger honestly to have such a record is quite difficult. Every winger can confirm that. So, I see it differently between us, because he’s a striker and I’m a winger”.
 
Midlands Villa is a tough ground... Hivi ndio hapa hapa Klopp aliwai pokea kipigo cha goli 7?
Aston Villa wako vyema sana nyumbani wamecheza mechi 13 bila kupoteza hata moja hivyo sio kwamba tumekutana na kibonde Hapana ni timu inayojua wanachokitaka na kocha anaejua kucheza na timu isiyopaki basi kama Liverpool...
Kutoa sare Villa park sio mwisho wa dunia we have seen bad n tough guys, hua mpaka ligi iishe natazama the next game maana last game inakua closed affair impact yake ni mpaka mwisho wa ligi... Tuna gemu kil baada ya siku 3 n kwa kikosi tulichonacho lazima tukumbaliane kwamba matokeo yatakua helter skelter at times guys ushauri wangu ni we embrace the situations kama ilivyo we move forward as a unit.
Haya yote tusishau sio Nunez wala Jota au Slot ni FSG kutosajili wachezaji pale fursa imejitokeza kwamba tunaokimbizana nao wako pambaya. Tutasema Nunez kile Nunez hiki lakin ukweli ni kwamba kikosi kilichopo kipo nafasi ile kwa kua washindani nao wamepoteana jamaa hakuna consistency kwa Arsenal au Manchester City au Chelsea otherwise wala tusingekua tulipo maana sare zoteeeee na bado ligi tunaongoza kwa kweli inatoa picha halisi kwamba its open race msimi huu haina mwenyewe mpaka sasa.
We are lucky we are leading the race.

We go to Ethad we push for a win if necessary or a draw if necessary then afterwards we focus Newcastle game. game.

YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…