Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hiki kichaka cha kuonewa sijui gunners walikitoa wapi na kwa sababu zipi!
Kila timu EPL imewahi kupitia kipindi cha kuonewa au kupendelewa na maamuzi mabovu ya marefarii na sio kitu kinafanyika kwa kudhamiria.
Ndiyo hali halisi. Tunajua kuwa uwezo pia umechangia ila ukweli usiopingika ni kwamba uonevu dhidi yetu upo kwa kiasi kikubwa kuliko timu zingine, haswa zile ndogo. Yaani sisi tunaonewa kama au zaidi ya timu ndogo sema tu class na quality yetu huwa inatubeba na kutuwezesha kushinda mechi licha ya uhuni tunaofanyiwa. Mfano mzuri ni game ya Wolves.

Msimu huu nadhani zaidi ya nusu ya mechi ambazo tulipoteza points 3 na kupata sare au kufungwa zilichangiwa na dhulma hizi. Isingekuwa hivyo tungekuwa tunaongea mengine sasa hivi kuhusu title race.

Pia si msimu huu tu, hata iliyopita tungekuwa mabingwa 😃😃😃 kama tungetendewa haki. Tumezoea hali hii. Sisi lazima tukimbie pale wengine wanapotembea tu 😀😀. Na hatusemi sisi tu, mpaka mashabiki wa timu zingine na neutrals waongea ukweli (sio wale vichwa ngumu wanaoongea kishabiki) wanalisema hili mara kibao tu.
 
Siwaelewi wanaLiva wanaoogopa kupitwa na sisi kama vile jambo hilo linaweza kutokea.
Mnasahau mna bahati nzuri/kubebwa huku sisi tuna bahati mbaya/kuonewa?

Mchezaji wetu akigusa mpira kidogo kabla ya free kick anakula kadi nyekundu au akimkata mpinzani umbali wa mita 80 kutoka lango letu anakula nyekundu hata kama hakustahili.

Mchezaji wenu akijikwaa mwenyewe kwenye box la mpinzani mnapewa penalty. Mchezaji wenu akimvamia mpinzani kijambazi anapewa njano.

Mifano ni mingi ila cha muhimu ni kaeni kwa kutulia. Ubingwa mtaupata tu.
Sisi adui yetu sio liVAR ni PGMOL
 
Sisi adui yetu sio liVAR ni PGMOL
Kabisa.
FA, PGMOL halafu Sp*rs, Manyumbu na Kenge. Kidogo pia Mama C115y, ila hawa Livakuku ni washkaji zetu tu ambao tunawasapoti ila wanaanza kutukataa kiaina. Wanaona ubingwa wameshaupata hivyo wanaanza kuwa kama wale ma magraduates waliopata ajira mapema na kuanza kula maisha huku wakiwakwepa na kuwadharau classmates wao ambao bado wanasota na bahasha za brown mitaa ya Posta.
 
Hiki kichaka cha kuonewa sijui gunners walikitoa wapi na kwa sababu zipi!
Kila timu EPL imewahi kupitia kipindi cha kuonewa au kupendelewa na maamuzi mabovu ya marefarii na sio kitu kinafanyika kwa kudhamiria.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hawa Arsenyo ni wa kuwachukulia tu kama walivyo, wengi wao wanasumbuliwa matatizo ya kisaikolojia yaliyo changanyika na inferiority complex.
Ni sawa na wale maskini wavivu kila wakiwaona matajiri utasikia wanadanganyana "yule ni freemason".
Mechi za wazi kabisa wanazobebwa na refa halafu bado wanakosa ushindi utawasikia wao na kocha wao wanalalamikia wamefanyiwa hujuma mpira umejazwa upepo mwingi makusudi ili kila wanapotaka kufunga mpira upae juu.
Hawa ni wa kuishi nao tu hivihivi.
1728754209983.jpg
 
Sasa mnaongoza kundi Uefa afu mnatolewa round 16 hata robo hamgusi🤣🤣🤣🤣

PSG atawapiga nje ndani yule kocha wa psg ni zaid ya Pep🤣🤣🤣

Kuku broiler kwaheri uefa
 
Jao neves --vitinya----fabian

Kwa sasa duniani hakuna mido km.hiyo

Huyo jao neves ni homa ya dunia anakaba ad kivuli 🤣🤣

Kwaheri kuku broiler
 
Hii inamaanisha sisi tukipita tunakutana na Club Brugge au Aston Villa while Arsenal atakutana na Real Madrid ama?
Yeah.
Na tukipita hapo tunakutana na mshindi kutoka hiyo branch ya kina Arsenal au real madrid au A. Madrid
 
🚨 Mo Salah: “I respect Haaland a lot… he’s a striker, so his life is a bit EASIER”. 👀

“For a winger honestly to have such a record is quite difficult. Every winger can confirm that. So, I see it differently between us, because he’s a striker and I’m a winger”.
 
Last season, team ilikuwa kwenye title-race, against City & Arsenal mpaka late April, na kilichotuangusha ni injuries, na quality ndogo ya eneo la katikati (DM), Endo did a very good job, but we needed more.

So, kuelekea msimu huu, wote tulikuwa tunajua Club/FSG wata-address suala ya DM, yes we tried kwa Zubimendi and failed, but that was it, so tulianza msimu tukijua Endo atakuwa our main DM, but luckly Gravenberch came into light, now we are 8 points clear with a MAKE-SHIFT DEFENSIVE MIDFIELDER, a 22 years-old Ryan, mtoto wa 2002, hajawahi kucheza at DM, but ndiyo engine ya team now at MF, kazi aliyoifanya kuanzia August mpaka mpaka now, ndiyo inafanya tunaongoza LEAGUE, nasema hivi, kwasababu, Grav experiment at DM couldve failed, and Endo at 32, asingeweza ku-keep up week in, week out kwenye most in-demand role katika league ya EPL, meaning kwamba Owners left us short again, but Coaches & players wame-step up MASSIVELY, on top of that dressing-room yote mpaka sasa haijui mustakabali wa kina Trent, Salah, VVD, Konate etc, lakini bado wanajitoa on the pitch as a group, sasa adversities zote hizi, bado mtu anatafuta room ya ku-moan, au kufananisha title-charges za Man City na LFC, clubs ambazo zina different trejectories.

Pep Guardiola collapsed bila Rodri, he had to spend £200m hii january ili tu ku-salvage huu msimu (a top 4 finish), situation kama ya City, ilishatutokeaga under Klopp, baada ya VVD kuwa injured, then Gomez & Matip, baadae Fabinho nae akaumia, FSG wakampa Klopp Ozan & Davies, Klopp had to make top four na kina Rhys & Nat, msimu uliopita Klopp challenged for the title akiwa na Endo at DM, dhidi ya Rodri & Rice at City & Arsenal, Pep is struggling with Gundogan & Kovacic, mpaka amemnunua Nico Gonzalez, msimu huu Slot yupo 8-points clear with Grav at DM, 8-points clear dhidi ya Rice & Partey, yeah, Arsenal are struggling with injuries upande wa attacking-line, but their MF-base is still better & strong than ours, & kama injuries zinaweza kutumika kama excuses, hakuna team kwenye title-race, iliyopata shida ya inhuries kama sisi last season.

Yes, sitaelewa excuses za Slot kama tuki-fail kuzifunga teams kama Southampton, Ipswich, Wolves, Westham, Leicester City, because these teams are having msimu m-baya sana, but kwenye msimamo wa league, kuanzia team ya pili mpaka ya 15, unakuwa na HOPE ukiwa home, but zote ni TOUGH away games, a season ago, game kama ya Bournemouth ilikuwa ni easy 3 points, but now unawaza kabla ya kukutana nao, utakuwa mjinga kama utakuwa una-expect easy 3 points kwa hii Bournemouth ya sasa, Crystal palace are at 15, but Selhurst Park bado ni one of the toughest grounds kwenye league, huwezi.kwenda SP, na matokeo mkononi, now, mtu ana-overreact kisa katoa draw at Villa Park, one of the toughest grounds in recent years, in hindsight, unaweza kumuelewa mtu aki-moan kutoa draw at Goodson Park, but Villa Park, ukizingatia ubora wa makocha na players wa teams zote mbili. Jana Slot decied to pile-up the MF in a 442, ili kum-contain Rogers, na bado ali-fail, nambie now, Rogers kuna team ya top six haanzi? City?, Arsenal? Chelsea?, Spurs?, Utd?, LFC? Curtis Jones starts mara kwa mara kwenye team yako, lakini ume-manage kuwa 8-points clear na bado una-moan, Curtis Jones anaanza wapi pale Villa? MF yetu na our attacking line ni nyepesi sana ukiwatoa Salah & Gakpo, na effect za MF kuwa nyepesi zimeanza kuonekana, as backline imeanza kuzidiwa, we are leaking goals for fun now, but ni kosa la players & Coach? tulikuwa na nafasi ya kuongeza nguvu kwenye kikosi hii january but tume-fail, so instead ya kulalamika kama wehu pale tunapo-drop points, ni bora kuendelea kui-back hii team & these players mpaka mwisho wa msimu.

League ni marathon, na kila mchezaji ana mchango wake, Nunez missed a chance jana, but ndiye aliyetupa 3 important points against Brentford, Jota missed a chance jana, but ndiye aliyetupa a very important point at The City Ground few weeks ago, Diaz alikuwa ana games 10 bila goals, but against Wolves, he scored and got a penalty for us, Endo hachezi mara kwa mara, but his 20 mins cameo against Wolves ndiyo ilisaidia kutupatia 3 important points.

Sasa inasikitisha kuona, tupo kwenye title-race, with a new coach, na bado tunaishi kwa kutafuta scapegoats, yaani mtu anaangalia mpira, akiombea mchezaji flani akose au afanye blunder ili apate kitu cha ku-prove a point, huo sio ushabiki, ni utoto, na ukizingatia team ipo kwenye title-race.

Hii inanikumbusha, kipindi kile cha Henderson, anaweza akacheza hovyo sana, but ikitokea Lovren kapiga hata a misplaced pass, shida yote inahamia kwa Lovren, au unakuta Henderson anacheza hovyo sana, but lawama zote zinaenda kwa Fabinho & Gini, tuache hizi mambo.
Midlands Villa is a tough ground... Hivi ndio hapa hapa Klopp aliwai pokea kipigo cha goli 7?
Aston Villa wako vyema sana nyumbani wamecheza mechi 13 bila kupoteza hata moja hivyo sio kwamba tumekutana na kibonde Hapana ni timu inayojua wanachokitaka na kocha anaejua kucheza na timu isiyopaki basi kama Liverpool...
Kutoa sare Villa park sio mwisho wa dunia we have seen bad n tough guys, hua mpaka ligi iishe natazama the next game maana last game inakua closed affair impact yake ni mpaka mwisho wa ligi... Tuna gemu kil baada ya siku 3 n kwa kikosi tulichonacho lazima tukumbaliane kwamba matokeo yatakua helter skelter at times guys ushauri wangu ni we embrace the situations kama ilivyo we move forward as a unit.
Haya yote tusishau sio Nunez wala Jota au Slot ni FSG kutosajili wachezaji pale fursa imejitokeza kwamba tunaokimbizana nao wako pambaya. Tutasema Nunez kile Nunez hiki lakin ukweli ni kwamba kikosi kilichopo kipo nafasi ile kwa kua washindani nao wamepoteana jamaa hakuna consistency kwa Arsenal au Manchester City au Chelsea otherwise wala tusingekua tulipo maana sare zoteeeee na bado ligi tunaongoza kwa kweli inatoa picha halisi kwamba its open race msimi huu haina mwenyewe mpaka sasa.
We are lucky we are leading the race.

We go to Ethad we push for a win if necessary or a draw if necessary then afterwards we focus Newcastle game. game.

YNWA
 
Back
Top Bottom