Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Arsenal kashatuondoshea Pressure kwenye mchezo wetu wa kesho.

Naenda ETIHAD na draw tu hata tukipoteza basi nitakuwa na amani.

Nilikuwa na hofu na Arsenal lakini dah! Hata hivyo bado michezo ni mingi ni mapema sana kusema sisi ni mabingwa kwasababu hata sisi wenyewe hatupo vizuri
 
kwani Salah keshapewa mkataba?
 
Uko sahihi ila unatumia busara nyingi kwenye haya masuala ya kishabiki. Mimi ninachomaanisha ni hao mamacita walaini saaaanaaaa, yaaani wewe jipigie tu kama mengine tunavyojipigia.

Unakumbuka nilikwambia mpira haupo kama unavyodhani?
 
Post ya kiKei sana hii
 
Kinachotupa kiburi mkuu ni ule usemi wa biashara asubuhi jioni mahesabu! Tungefanya uzembe round ya kwanza sasa hivi tungekuwa hoi bin taabani!
 
Uligeuka tena kinyumenyume wakati kuna post ulisema kabisa Arsenal hashindi Jumamosi!

Hile niliyosema Arsenal hashindi ni matokeo niliyokuwa nayatamani yatokee kwasababu niliangalia matokeo ya msimu uliopita nikaona arsenal kapigwa nje ndani, lakini hii niliyosema Arsenal anashinda ndiyo nilivyokuwa naamini.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…