Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Arsenal kashatuondoshea Pressure kwenye mchezo wetu wa kesho.

Naenda ETIHAD na draw tu hata tukipoteza basi nitakuwa na amani.

Nilikuwa na hofu na Arsenal lakini dah! Hata hivyo bado michezo ni mingi ni mapema sana kusema sisi ni mabingwa kwasababu hata sisi wenyewe hatupo vizuri
 
We need;

A Trent replacement (if nothing changes in the next few weeks)

A new LB

2 CBs (A Gomez replacement, & another rotational CB).

A DM.

3 attacking options (LW, ST and RW)

Minmum 8 signings, ambapo under FSG itakuwa ni impossible.

Attacking option, ilikuwa inatakiwa kuwa least of our problems, but we need to sell Nunez & Jota, we need new options upfront, so a new CF is needed, sell Jota & Nunez and put that money on 2 attackers, and if Diaz leaves, invest the money on a new LW.

Trent will leave for free, Robertson amebakiza mwaka mmoja kwenye mkataba wake, so situation ya upande wa our fullbacks ni tricky, as we wont get a penny kwa Trent (if he leaves), we wont get good money if we decide to sell Robertson in the summer, so we will need to put money up for a new LB & RB, so ili kufanikiwa we will need to shelve idea ya kununua a DM, Grav & Bajcetic should be the options, put that money on the new fullbacks, & recoup kiasi kwa Gomez, and re-invest back kwa new young CB.

Salah will be 33 this june, and apart from Gakpo, our attacking options zinahitaji mabadiliko makubwa sana.
kwani Salah keshapewa mkataba?
 
Uko sahihi ila unatumia busara nyingi kwenye haya masuala ya kishabiki. Mimi ninachomaanisha ni hao mamacita walaini saaaanaaaa, yaaani wewe jipigie tu kama mengine tunavyojipigia.

Unakumbuka nilikwambia mpira haupo kama unavyodhani?
 
Siwaelewi wanaLiva wanaoogopa kupitwa na sisi kama vile jambo hilo linaweza kutokea.
Mnasahau mna bahati nzuri/kubebwa huku sisi tuna bahati mbaya/kuonewa?

Mchezaji wetu akigusa mpira kidogo kabla ya free kick anakula kadi nyekundu au akimkata mpinzani umbali wa mita 80 kutoka lango letu anakula nyekundu hata kama hakustahili.

Mchezaji wenu akijikwaa mwenyewe kwenye box la mpinzani mnapewa penalty. Mchezaji wenu akimvamia mpinzani kijambazi anapewa njano.

Mifano ni mingi ila cha muhimu ni kaeni kwa kutulia. Ubingwa mtaupata tu.
Post ya kiKei sana hii
 
Arsenal kashatuondoshea Pressure kwenye mchezo wetu wa kesho.

Naneda ETIHAD na draw tu hata tukipoteza basi nitakuwa na amani.

Nilikuwa na hofu na Arsenal lakini dah! Hata hivyo bado michezo ni mingi ni mapema sana kusema sisi ni mabingwa kwasababu hata sisi wenyewe hatupo vizuri
Kinachotupa kiburi mkuu ni ule usemi wa biashara asubuhi jioni mahesabu! Tungefanya uzembe round ya kwanza sasa hivi tungekuwa hoi bin taabani!
 
Ila tuna wamiliki vilaza sana ujue. Yani Manchester City wamenusa kukosa big 4 haoo wamewekeza karibu usd 200m January 2025. Tazama Liverpool tunanusa Ubingwa huu hapa mahitaji tunayo kabisa ya wazi wazi lakin FSG haoooo wanakula kona tutajijua yaaani we are cursed kwa kweli. Tuna vilaza sana. Hivi kwa nini wasimuuzie Elon Musk tu kama wao wameshindwa kuendana na kasi ya soko?
 
Back
Top Bottom