Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
Kipara is a confused man... Without Rodri and top KDB anaishiwa mbinu.Kipara hajawahi kucheza na Liverpool akatumia Style yake pendwa huwa anacheza kushambulia na kulinda kwa umakini mkubwa sana.
Hawana protection... New kid in town Gonzelaz aka mini Rodri bado hajawa up to speed na mbio za EPL.Na city Defence is worse
Kipara kashaanza kuchanganyikiwa huyu. I thought msimu unaanza alisema they win 5 in a row.Absolutely yes.
View attachment 3246180
Epl ina matokeo ya ajabu sana. Wish ingekua inachezwa mwaka mzima😂😂😂😂Maana ni burudani haswaaa.Mnaoiogopa Arsenal nendeni mkaone mpira anaocheza huko.
Nawaambia as long as mpinzani wetu kwenye hili kombe ni Arsenal basi me nimeshajipa ubingwa.
Tupambane tuchukue ubingwa afu June 2025 wenye timu wataamua kama tuedelee kuishi kwa presha ama watampa Mwalimu anachokitaka ili kujenga kikosi cha kuzoa makombe.Wamiliki wana nafasi yao ila kiukweli hawa wachezaji wetu wengi wameshaprove failure.
Sare ya 3-3 vs Newcastle
2-2 vs Everton
2-2 vs united
2-2 vs villa
Hizo ni sare ambazo tulikua kwenye wining position. Ukizichunguza hapo tatizo sio kina Nunez bali ni upande wa ulinzi huko
Ukiona wachezaji waandamizi wanekosa ubingwa zaidi ya mara mbili kwa point 1, kisha wakakosa tena wakiwa top huku zikibaki mechi 7 tuu ligi kuisha ujue hao hawana mentality tena ya kukupa ubingwa
Mikataba iishe tuu VVd asepe, TAA asepe, Robertson asepe, Allison aondeke abaki keheler, Nunez, Jota hawa waondoke wakubaki labda iwe Salah peke yake, huwezi kubaki na jeshi lile lile linalokufelisha kila siku pale wanapokaribia kupata ubingwa. Ni heri kuanza tuu upya
Gakpo
Macca
Grav
Szobo
Ibou
Hawa ndio wabaki tuwaone tena misimu miwili mitatu ijayo
🚨NEW: Gakpo makes the squad. 🫡
@JamesPearceLFC🔴
We still need him, for how.Kumbe tumeona wengi na sijui kwanini hawakumuuza nunez uarabuni? 😔😔😔
Wishful thinking, brother.kwani Salah keshapewa mkataba?
Same old same old Liverpool troop.
When they score ni shangwe, when they are not doing what they are paid to do inakua kipengele haswaa.
🤣 🤣 🤣 Angalau June haipo mbali watazame upya msimu ujao wawe wapi.
YNWA
Ngwaba,Kwa Mfumo wa usajili wa Liverpool hizo changes kuzifanya kwa One to two windows haiwezekani.
Watahitaji 4 windows au zaidi
Dah! We jamaa asilimia kubwa huwa unaongea ukweli tuJumamosi Arsenal hamfungi West ham
I heard the players were given 2 days off after Villa game. Mbona leo nawaona wamechoka choka ama ni mbinu😂😂.LFC ya Klopp, ilikusanya a lot of spoiled fans brother.
But, wanasema, mafanikio huwa yanakuja na mengi.
Jones as long he won't delay releasing passes when necessary sina ishu nae...Diaz starts at 9
Szobo starts at LW
Jones starts in the middle with Grav & Macca.
Same set-up kama ya Villa Park, Diaz replaces Jota.
442.
Jones as long he won't delay releasing passes when necessary sina ishu nae...
YNWA