Wamiliki wana nafasi yao ila kiukweli hawa wachezaji wetu wengi wameshaprove failure.
Sare ya 3-3 vs Newcastle
2-2 vs Everton
2-2 vs united
2-2 vs villa
Hizo ni sare ambazo tulikua kwenye wining position. Ukizichunguza hapo tatizo sio kina Nunez bali ni upande wa ulinzi huko
Ukiona wachezaji waandamizi wanekosa ubingwa zaidi ya mara mbili kwa point 1, kisha wakakosa tena wakiwa top huku zikibaki mechi 7 tuu ligi kuisha ujue hao hawana mentality tena ya kukupa ubingwa
Mikataba iishe tuu VVd asepe, TAA asepe, Robertson asepe, Allison aondeke abaki keheler, Nunez, Jota hawa waondoke wakubaki labda iwe Salah peke yake, huwezi kubaki na jeshi lile lile linalokufelisha kila siku pale wanapokaribia kupata ubingwa. Ni heri kuanza tuu upya
Gakpo
Macca
Grav
Szobo
Ibou
Hawa ndio wabaki tuwaone tena misimu miwili mitatu ijayo