Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nitakuwa Ikwiriri shambani hata game na Arsenal zitaweza iangalia lkn nitashinda kwani gari letu limeisha waka!

Humfungi Stoke kwake ningekuwa Dar ninge bet na ww maana hela ya bure hii!!

utakimbia sana mwaka huu.....niliwaambia mwanzo kabisa wa msimu hamuwezi kuuza FERRARI mkanunua fiat mbili halafu mtegemee perfomance ya ferrari.....mtazoea tu ila weekend hii nawaombea muwape kichapo Arsenal wana maneno sana hawa jamaa

cc: MosDef Janjaweed mr wise
 
Last edited by a moderator:
RRONDO katika UBORA wake!!

hatunywi hata maji bro???

Hahahahaha!!!!
 
Last edited by a moderator:
Utasikia tu "Peter Crouch is getting better and better"! hapo lzm nikimbilie kwenye TV ehehehe


Alishindwa wakati akiwa hapo kwenu akisaidiwa na mafundi kibao ndo ataweza akiwa Stoke bila mafundi? Khe Khe Khe Khe......!
 
Jamani, RAHEEM STERLING ndo the BEST youngster wa EUROPE kwa sasa, kapewa tuzo ya "EUROPEAN GOLDEN BOY"

kitu kingine cha ziada ni kwamba DIVOCK ORIGI came 2nd..
 
BR bhana, Inasemakana Brad jones ndo atakuwepo Golini dhid ya Arsenal leo!!!!...

Kama ataenda na Formation ile ile ya 3-4-3, asimchezeshe Markovic kama LWB tena, Sanchez atamuexpose sana, instead Moreno aanze, then Markovic akae kule kwenye Front 3..

Afu Can aanze dhid ya Hendo/Lucas

Ile combination ya SG na LL inanipa wasiwasi, huwa inawork out mara chache sana!!

Sana Sana nashukuru tu Lovren na GJ hawatoanza!!!

And FLANNO is BACK in training!!
 

Niliposikia tu "Bentekeeee is going to be better and better" nikakimbilia kwenye TV eheheheh
 
Niliposikia tu "Bentekeeee is going to be better and better" nikakimbilia kwenye TV eheheheh

wewe furaha yako msimu huu itabaki kwa timu nyingine zitakazoipa shida man utd ila timu yako ni majanga!!! ila kiukweli nataka muwafunge gunners vizuri tu wanakelele sana...
 
Sanchez will Destroy Markovic, Playing Markovic as LWB dhidi ya Arsenal syo good idea kabisa!

CAN benched as usual!!

STERLING as a false number 9..

SG and Lucas in the middle..

And Hendo as a RWB..

Tukipoteza hii game ya leo, Top 4 hopes will be OVER..
 
ningekuwa na uhakika kama tikifungwa leo BR out ningechagua tufungwe!
 

So far so good!Tunacheza vyema
 
ningekuwa na uhakika kama tikifungwa leo BR out ningechagua tufungwe!

Hakuna haja ya kubadili kocha,ningeunga mkono kama Carra aitwe kwenye kamati ya ufundi tu mambo yatakuwa sawa na hasa January hii tukimleta mshambuliaji mpya wa ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…