Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Si kweli!Sisi ni wana soka haswa tunajua soka ina matokeo matatu so hatuwezi kukimbia hapa!!

Yea, hata mie najua soka ina matokeo matatu, kuna yale matokea fulani ambayo yaliifanya hii thread ipotee mpaka ilivyokuja kuibuka msimu uliopita.

Anyway, leo kuna mechi kali usisahau kuangalia na kuja hapa regadless ya matokeo. Si umesema yapo matatu?

Maana Rogers asije akawekwa benchi "indefinitely" kama alivyomweka benchi "indefinitely" yule kipa No 1.
 
What a difference a year makes...

_79794662_liverpool.jpg
 
what a difference one player makes....khe khe khe khe khe khe khe khe

cc: Malafyale MosDef #eleven

Unajua msimu uliopita, defensively Liverpool walikuwa sooooo bad.

Lakini kwa sababu walikuwa wakifungwa bao 2 wanafunga 3, wengi hawakugundua.

Ni mpaka msimu huu Liverpool ilipokuwa exposed.

Bado wanafungwa mabao kama msimu uliopita; lakini hawafungi tena.

They could have won the Premiership last season kama wangekuwa na defense imara.

Signs zilikuwa wazi kabisa kwenye ile mechi ya Norwich walioshinda 3-2.

Media wakawafagilia for a thrilling comeback, wakajisahau.

What followed next ilikuwa ni majanga.

Itawachukuwa muda mrefu kufika level waliofikia msimu uliopita.

The most interesting though is that mashabiki wengi wa Liverpool wanadai Feggie ndo chanzo cha wao kutofanya vizuri kabla ya msimu uliopita.

Waliotoa mpaka ushahidi kuwa msimu uliopita Liverpool ilifanya vizuri kwa sababu Feggie hakuwepo. Wachache wakaamini hivyo.

Lakini msimu huu sijui kama watakuwa tena na excuse hiyo.
 
kwenye defence nakubaliana na wewe....wana beki wao anaitwa Lovren huyu peke yake ashatoa maboko kama 8 ambayo yamesababisha goli au shot on target....goli la RVP lilianza na boko la huyu Lovren, watasubiri sana baada ya kukosa last season,fursa hizo ni chache sana,Chelsea na timu yao nzuri hawajachukua EPL tangu 2010 i think!
 
Sikuoni kwenye Capital One mbona?
Upo bado FA?
 
Amekosa mpinzani wa kucheza nae.
Tehe tehe!!!!

Wameanza kucheka mwanzo sisi tutacheka mwisho!

Week hii Britannia Stadium the most difficulty place for visitor to accumulate the maximum points- Ntuzu mna shida Jumatatu ugenini ehehehe!
RRONDO nikisikia Hirshley akitangaza "Benteke is getting better and better" huwa nakimbilia kwenye TV ehehehehe

@agosti kama tu Mentor wao hadi washinde ndiyo wanakuja kutusalimia,the same to EMT na Mbu ila kalon huwa anajitutumua na maumivu yake ehehehe
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu
Tulipoteza mchezo Wa Newcastle kwasababu bahati haikua yetu! Stoke City watakua na wakati mgumu sn j3 Usiku!

No point to drop!

Wameanza kucheka mwanzo sisi tutacheka mwisho!

Week hii Britannia Stadium the most difficulty place for visitor to accumulate the maximum points- Ntuzu mna shida Jumatatu ugenini ehehehe!
RRONDO nikisikia Hirshley akitangaza "Benteke is getting better and better" huwa nakimbilia kwenye TV ehehehehe

@agosti kama tu Mentor wao hadi washinde ndiyo wanakuja kutusalimia,the same to EMT na Mbu ila kalon huwa anajitutumua na maumivu yake ehehehe
 
Last edited by a moderator:
Tulipoteza mchezo Wa Newcastle kwasababu bahati haikua yetu! Stock City watakua na wakati mgumu sn j3 Usiku!

No point to drop!

Ndugu yangu Stoke City beki zake zinamuweza Costa,Remy na Drogba bila wasi wasi wowote

Siyo mechi rahisi hii kwenu hata kidogo
 
Aiseee mi niko mitaa ya Kimara tuwasiliane tuweke mpunga mezani uone km sito mpiga Stoke! Tuweke mpunga Aisee!
 
Hivi wana liverpool wenzangu ni kweli ruddy kutoka norwich ndio ideal replacement ya mignolet??tusipomaliza wa 13 basi mungu yu pamoja nasi
 
hizo ni rumaz tu, for the past 2 weeks, tumekuwa linked na makeeper wengi sana...But tangu juzi tumekuwa strongly linked na OCHOA for £3m, ambaye August Kipind cha usajili alikuwa ni "Free Agent" akaenda Malaga, lakin Sahiv tunamtaka na HELA tu (Transfer commitee ya LFC ni ya kizembe sana)..lakin BR kasema Anahitaji KEEPER na ST mwingine (ingawa upande wa ST inategemea kama Borini ambaye BR is trying to force him out atauzika)..

BUT, reports za kuaminika zinasema we Want Xherdan Shaquir on LOAN, na wakat huo hou Atletico Madrid wapo tayari kutoa £10m kwa Bayern kumchukua Dogo...hii inaonyesha hatupo serious kabisa, we desperately need mchezaji aina ya Shaqir, lakin eti tunamtaka kwa LOAN....imagine loosing such a wonderfull player for just £10m???...
 
Xhaqiri ni another disaster

Liverpool in maandunje na wakimbiaji wa kutosha, Shaqiri hana aCCURANCY, hana akili ya soka na hana focus

we need a serious player, kama tutshindwa kuleta akina Vidal, Kroos, Higuain, Casilas, Cech then ni bora tubaki tulivyo

Shaqiri hamfikii hata IBE

I think BR ana nia ya kuidestroy kabisa liverpool
 
Mignolet wakat yupo Sunderland alikuwa ni GOAL KEEPER mzuri sana, nakumbuka alikuwa anaenda mpka game 6 na CLEAN SHEETS, lakin tangu kaja LFC, amekuwa shit.

Me kwa mtazamo wangu naona, Tatizo la Makeeper LFC linasababishwa na ufundishaji m-bovu wa kocha wa makeeper ACHTERBERG, nakumbuka chini ya huyu jamaa REINA ndo alianza kupotea, as soon as alipoanza kazi pale LFC, Kiwango Cha REINa kiliporomoka sana, na Sahiv tunashuhudia hiki kitu kwa MIGNOLET...me nadhan hata OCHOA akija ataharibiwa tu na huyu jamaa...Kama FSG hawataki kuget rid of BR, basi waipige chini Back-room ile yote, haina msaada wowote kwa team..

Am Glad LOVREN is injured though..
 
Tatizo ni coaching, you are very right

Hata strikers wetu wamekua legelege kwasbabu mazoezi yao yapo kwenye tactics kuliko nguvu, accurancy na tenacity.. ndio maana Sterling missed sitters because kwa mazoezini yale yote yangeingia tu... tumewashusha viwango defenders na kipa kusaidia tactics za attacking

BR anahitaji defence coach au aishie...

Naamini kabisa hata akina Lovren wanaweza kuwa wazuri tu wakipata kocha mwenye kufundisha defensive plans
 
Xhaqiri ni another disaster

Liverpool in maandunje na wakimbiaji wa kutosha, Shaqiri hana aCCURANCY, hana akili ya soka na hana focus

we need a serious player, kama tutshindwa kuleta akina Vidal, Kroos, Higuain, Casilas, Cech then ni bora tubaki tulivyo

Shaqiri hamfikii hata IBE

I think BR ana nia ya kuidestroy kabisa liverpool

Kroos to LFC???????!!!!! HAITAKUJA KUTOKEA!

VIDAL price tag yake ni KUBWA, FSG wanatoa £150m kununua mchezaji kwenye team yao ya Red sox ya USA, lakin kutoa £25+ kwa Hao kina VIDAL hawawez hata uwashikie mtutu...

Cech, Mourinho wont allow IT..

I'd rather go for Lacazzete or Dyabala kuliko Higuain..huyo Higuain atatuzingua tu, kwanza anaform mbovu sana sahiv..

Shaqir ni mzuri, anaweza akacheza sambamba na Danny upfront, ni "in and Out winger"..namba zote za mbele anaziweza...na nadhani ni option nyepesi iliyopo..

Lacazzete ni mmoja kat ya Top scorer wa league kubwa zote za Europe sahiv ana goals zaid ya 16, he's up there with Ronaldo, nadhan bei ya chini itakuwa ni £20+m, kwa Dybala ndo kabisaaa, wale parelmo watataka £30m...

Shaqir ndo option ya Fasta...ibe ni winger (direct winger) huwez kumpanga sambamba na Danny au Balo upfront, tofaut na kwa shaqir...
 
Shaqiri sio striker ni winger au namba jumbo, he us a bad player, kama ni kujaza vyoo tu, basi WaPo wa kutosha
 
Back
Top Bottom