EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,325
Si kweli!Sisi ni wana soka haswa tunajua soka ina matokeo matatu so hatuwezi kukimbia hapa!!
Yea, hata mie najua soka ina matokeo matatu, kuna yale matokea fulani ambayo yaliifanya hii thread ipotee mpaka ilivyokuja kuibuka msimu uliopita.
Anyway, leo kuna mechi kali usisahau kuangalia na kuja hapa regadless ya matokeo. Si umesema yapo matatu?
Maana Rogers asije akawekwa benchi "indefinitely" kama alivyomweka benchi "indefinitely" yule kipa No 1.