Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...............EUROPA Vs Basiktas,
Demba Ba anawasubiri.
😛ray2:
Ngashoka!!!!
Ni kocha gani anayetufaaa pale Liverpool...
Weka jina... na wasifu wake kwa kifupi...
ha ah aha ha kiburi cha Malafyale kimemtokea....?
hali si hali ..
David Moyes.
Sikuwepo Dar nilienda shamba Ikwiriri kuvuna mpunga wangu,na jana mara 3 nimeirudia kuiangalia mechi hii na nawapongeza wachezaji wangu walicheza vyema mno zaidi ya Man U na walitengeneza nafasi nyingi mno!Kwa nn basi tumefungwa?
1,Keeper De Gea hii inaweza ikawa ndiyo perfomance yake bora kupata kutokea hadi anaacha soka,alikuwa kwenye kiwango ambacho hata Emanuel Neuar wa Munich hawezi mshinda kwa sasa
2.Rooney na RVP wao hawakosi nafasi kama zile za kumzunguka tu keeper za RS
3.Bad lucky,kwenye soka kuna bahati mbaya pia
Najipanga kwa mechi na Arsenal na hakuna haja ya ku panic Majogoo wenzangu!Tutarudi Jumapili kwa Arsenal na tutashinda kiurahisi tu sababu Arsenal hawana De Gea wala Rooney wala RVP wala Valencia
Watani akina nani; mie nasapoti Leeds Utd.
Eti kimeduka huko kwenye dressing room ya wekundu?
BBC Sport: Liverpool boss Brendan Rodgers has dismissed talk of dressing room unrest
Amaaaa!!!
Hii thread itarudia enzi zake. Kimyaaaa.
Hatariii sana hii
Jordon Ibe what a gem, naona anachofanya dhidi ya beki za chelsea kwenye capital one kwa derby county
Hii thread itarudia enzi zake. Kimyaaaa.
Kitu kingine alichochemka Rodgers ni kumpeleka Ibe kwa mkopo.[/
Ni kweli kabisa na ukiangalia na jinsi sterling alivyokuwa na games mbovu, Ibe ange-step up. Ibe aliingia kipindi cha pili ila yeye ndo alikuwa sources ya goli la derby county jana alimsumbua azpilicueta sana mpaka ivanovic akawa anamsaidia. Jordon Ibe ana future nzuri sana kama akiendelea kuperform vizuri na kupewa mechi nyingi
Leo tuna mechi na bournemouth kwao, wapo vizuri ukilinganisha na form tuliyonayo sisi msimu huu. Nasubiria experiment za BR maana tangu ameanza msimu huu hana first eleven ufanye vizuri ufanye vibaya unaweza kuanza au kukaa bench