Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aibu tupu Leo ndio tumeona why David Moyes kufukuzwa watu Kama wale wachezaji wakali wa nje kwanza hawawajui mbili hawaaminiki kuja kuchezea Rogers afukuzwe tu Kenny Daglish ashushwe chini mpaka Benitez atapokuja tena hao sio Manager wa hizo timu lasivyo tutatizama kushuka chini au nafasi hata ya 10 tusione timu Kama Arsenal unashangaa kuona haimtaki Arsene Wenger wawe makini na wanachokiomba Brendan Rogers kitu gani kashinda? Bora hata Kenny Daglish na timu mbovu alishinda kombe na kutufikisha FA Cup Final timu kujiuliza nani mchezaji Mzuri kwenye timu unasema Kolo Toure si hatari Hiyo? Unatoa Left Back ila Emre Can unamuacha Bench, Brendan Rogers na Joe Allen waende tu Las Vegas wakaowane hatuwataki pale tukiendelea nao tutafika April-May Liverpoolfc inaishangilia ushindi au draw kwa kuokoka kushuka daraja kwa Point 1 au 3. Hata upeleke £100 kwa Reus Mfano akiwepo mtu Kama Brendan Rogers atasema ndio nani Brendan. Rogers? Ila mtu Kama Rafael Benitez kuna wachezaji wakali wengi angekuwepo wasingefikiria mara mbili, tumeona Mfano Mzuri kwa David Moyes na United na Sasa Luis Van Gaal watu Kama Benitez LFC hata isiwe CL watu watakuja ila Brendan Rogers tulikuwepo CL amekuja nani Lallana? Aibu ndio naipenda tu timu yangu na nipo tayari Kama Brendan Rogers atabaki kuishangilia daraja la kwanza.
mnashinda leo man utd ni wabovu saaana afadhali ya nyie Liverpool......
Ni shida kwa kweli
Mkuu ni shida kwa kweli!Drop RS mpuuzi sana huyu mtoto
![]()
hahahaha ...........
Grand PA
mtoto wa mbagala kuu; waambie hawa watu wakuelewe; na yule mzee malafyale..kajificha wapi?