Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Umenena point na mifano muhimu next season atakuwa vyema kijana....majeruhi ya mara kwa mara yamemtoa sana kwenye game ndio maana walimu bado wana imani nae!
 

Thank you for your advice
 
As an LFC fan, who is your favorite player from;

Man City
Arsenal
Man Utd
Chelsea
since Julian Alvarez left Etihad sina favorite player at Manchester City zaidi ya Rodri, Arsenal naendelea kuload angalau nitampata, pale Chelsea kuna Enzo Fernandez though maji kupwa maji kujaa, kwa manchester united HAKUNA kabisaaaaaaa
 
Vipi mateta mfaransa wa Crystal palace ama Semenyo mghana wa Bournemouth?
Semenyo kwa kwel ana mishe kama Mane vile hivyo anatufaa mno.
Mateta hapana hatatufaa maana mfumo kama utabakia huu huu wa sasa basi itakua haya haya ya Nunez, Benteke nk.
Sijui ni sadfa ama niaje timu yetu inakua na ukali zaidi tukitumia ma winga zaidi kuliko kupitia pale kati.
Semenyo anaweza kua mbadala wa Diaz🤔🤔🤔endapo PSG ama Barcelona wakileta mpunga wa maana.

YNWA
 
Lets play a game.

RANK THESE LFC FORWARDS

Fernando Torres
Luis Suarez
Mo Salah
Sadio Mane
Roberto Firmino
Mo salah
Luis suarez
Fernando torres
Sadio mane
Roberto firmino

Nikiwapanga kwa mapenzi yangu ya kiushabiki wa kiliverpool itakua ivi

Mo salah
Roberto firmino
Fernando torres
Sadio mane
Luis suarez

Luis suarez tangu atuletee dharau sijawah mpenda tena
 
QUESTIONS.

Suarez or Salah?

Torres or Firmino?

Fabinho or Mascherano?

Hyppia or VVD?

Agger or Matip?

Coutinho or Alexis?

Alexis or Wijnaldum?

Alonso or Thiago?

Mane or Salah?

Nunez or Milan Baros?

Henderson or Szobo?

Allison or Reina
Suarez or salah 👉salah
Torres or firmino 👉torres
Hyppia or VVD 👉vvd
Agger or Matip 👉Agger
Coutinho or alexis 👉coutinho
Alexis or Wijnaldum👉Wijnaldum
Alonso or Thiago 👉 alonso
Mane or salah 👉salah
Nunez or Milan baros👉milan baros
Henderson or szobo👉szobo
Allison or reina 👉allson

Nunez tumuwe na Mateja kezman yule wa chelsea😂😂😂
 
1-steve g
2-salah
3-szobo
4-trent
5-suarez
 
Muweke pembeni SG8 kisha ndio tuwarank hao wengine
Iki kiumbe kiliibeba mgongoni liverpool bahat mbaya sana liverpool haikumtendea haki stive g😥😥😥 walishindwa kumletea wachezaj wakumsaidia kuchukua epl,ata FERGIE alilisema ili la liverpool kutomtendea haki STIVE G miaka yote ya kuibeba liverpool.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…