Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Cisco.

I get the sentiment, kwasababu Jones ni "home-boy", but lets be real with ourselves, Jones is 24, hatuwezi kuwa tunaendelea kuongelea suala la "potential" at that age, wakati wenzake (Age-mates), tayari wamebebeshwa majukumu makubwa kwenye teams/clubs zao.

At LFC pekee (recent times);
SG became a LFC captain at 23, at 24 he carried us & won us ile CL ya Istanbul (2004/5 season). at 24 years-old.

Trent became a house-hold RB name at 20, at 21 tayari alikuwa ana CL title, akiwa kama undisputed starter kwenye first XI, at 24, tayari alikuwa kashinda kila kitu kwenye ngazi ya Club, je kipindi ambacho tulikuwa tuna-question his ability to defend, tulikuwa tunajificha kwenye kivuli cha potential? au excuses za kuwa Klopp moved him kutoka kwenye his natural position (CM) kwenda at RB? Trent kaanza kuwa subjected na "ukosolewaji" wa kutokuwa na ability nzuri ya kuzuia tangu akiwa na miaka 18-19, but at 26 now, anaenda kuwa 2 times PL winner, and if nothing changes, anapata a big/dream move to Madrid, he's just 2-years older kwa Curtis.

Joseph Dave Gomez (Joe Gomez), was only 21 when alipokuwa "vital" part ya ile partnership yake na VVD, back in 2018-2020/21.

Raheem Sterling was only 19 ule msimu wetu wa 2013/14, Coutinho was 21.

Achana na hao, kwenye our current squad, umeongelea kuhusu Curtis kushindwa kufikia potential yake kwasababu ya lack of a DM figure kwenye team, ambapo game yake inakuwa restricted, well, natural position ya Gravenberch ni kama ya Jones, wote ni 8s, but Grav amekuwa able ku-adopt at 6 and he's carrying us msimu huu, one of the MOST IMPORTANT PLAYERS kwenye team msimu huu, Klopp si alishamjaribu Curtis mara kadhaa at 6? what happened? Grav is carrying backbone ya team yetu at 22 (TWENTY TWO YEARS OLD), Jones at 24 ana-offer kipi? potential? Ryan ni mmoja ya wachezaji ambaye alikuwa anapata abuses & ukosoaji mkubwa sana kutoka kwa LFC fans around the globe msimu uliopita, now at 22 he's winning us the league, Jones lini atafikia levels za Ryan? interms ya umuhimu & impact kwenye team? at 24 hatutakiwi kuongelea kuhusu potential, tena kwa mchezaji ambaye anaanza a lot of games.

Szobo is 24, same age kama ya Jones.

Nunez is just a year-older (25), abuses anazopata Nunez, watu huwa wanazingatia potential? Again, why iwe kwa Jones tu? ambaye for the past 5 years ame-fail ku-evolve?

Gakpo is just a year-older kwa Jones, same kwa Konate, mbona wenzake wana-take wajibu na ku-show up kila siku? Gakpo wa msimu uliopita siyo huyu wa sasa, same to Konate, wanakuwa na ku-evolve.

Curtis Jones is older than Bukayo Saka, Saliba, Cole Palmer, Caicedo, Jude, Pedri, Lamine, Cubarsi, Mainoo, Morgan Rogers, Barcola, Nico Williams etc

Curtis Jone is at the same age na kina Vinicius Jr, Erling Haaland, Foden, Antony Gordon etc

Hao wachezaji wote, aliowapita umri na anaolingana nao, wote WANABEBA majukumu MAKUBWA sana kwenye teams zao, na kila kukicha "game-state" yao inakuwa na ku-evolve, what about Jones?

Curtis Jones ali-fail ku-break in kwenye first XI wakati tukiwa tuna-struggle kwenye MF msimu wa 22/23, akashindwa ku-break in last season (23/24) wakati tuna whole new MF, na kina Szobo/Grav walikuwa wanajaribu ku-adjust kwenye mfumo & mazingira ya LFC, now he has failed kum-displace Szobo kwenye team kabisa, and amekuwepo at LFC for years, sisemi kuwa Szobo hastahili kuanza, but kwa muda aliokuwepo Curtis at LFC, ilitakiwa iwe ni ngumu kwa kina Szobo/Grav/Alexis kum-displace, right? but why imekuwa rahisi? kina Saka, Lamine, Cubarsi, Foden, Nico Williams etc, ni academy kids, kwa jinsi game yao ilivyo-evolve na kutengemaa, unadhani ni rahisi kwa new signings kuwa-displace kwenye teams zao? why iwe Curtis? at 24 kwanini bado tunaongelea potential?

Game ya Curtis Jones ime-stuck, ameshindwa ku-evolve, he thinks he's better than uwezo wake ulipoishia, na tulitakiwa tuwe tunalalamika kuhusu potential, kama hapati game-times, but kwa msimu huu ni moja ya players ambao wamecheza games nyingi sana, but anaweza kuku-offer anacho ku-offer his age-mate Szobo? especially alichofanya Szobo katika games za City & Newcastle?

Tangu Klopp amu-introduce Jones kipindi kile, amekuwa aki-train/kucheza na kuzungukwa na World class players, kina Allison/VVD/Matip/Salah/Mane/Firmino/Fabinho/Gini/Robertson etc, a father/brother figure kama Milner etc, kama una-fail kukuza game yako, around these big players, utakuza wapi?

Wachezaji aina ya Curtis Jones, wakikaa muda mrefu kwenye Club, wanakuwa ni tatizo, haijalishi kama Coach/manager anampenda au no, Klopp used to love & protect Henderson, but in the end he made a mockery kwa Club, Klopp & fans wakati ana-force move ya kwenda Saudi.
Umenena point na mifano muhimu next season atakuwa vyema kijana....majeruhi ya mara kwa mara yamemtoa sana kwenye game ndio maana walimu bado wana imani nae!
 
Y'all mmekuwa hapa kwa muda mrefu sana, more than 10 years now. tunajuana, signature yako ni tofauti na ya TIMING, but zote zina-lead kwenye ku-raise LFC/football oriented engagements. theres nothing wrong about that.


Siyo lazima mitazamo/our way ya ku-engage kwenye football chats/discussions kufanana, & thats the beauty of football & uwepo wa hizi open forums.

So, Acheni huu utoto wa kutaka kukaushiana, tuna title ya ku-celebrate, & niliona Zumbemkuu ali-suggest mfanye a get-together in May, kuna wale jamaa wa kikundi cha mashabiki wa LFC bongo, huwa wanafanya hizi get-together mara nyingi, y'all need to do the same au kuwa-join hawa jamaa, maana humu ndugu zangu tunavimbiana sana, si mchezo, hahaha.

Y'all both ni LFC fans, and LEGENDS wa hii thread, imepita miaka mingi na bado tumebarikiwa uzima wa kuendelea kuwepo hapa, its an honor.

By the way, TIMING ni one of the EARLY founders & members wa hii thread, binafsi, i respect him DEARLY.

Thank you for your advice
 
As an LFC fan, who is your favorite player from;

Man City
Arsenal
Man Utd
Chelsea
since Julian Alvarez left Etihad sina favorite player at Manchester City zaidi ya Rodri, Arsenal naendelea kuload angalau nitampata, pale Chelsea kuna Enzo Fernandez though maji kupwa maji kujaa, kwa manchester united HAKUNA kabisaaaaaaa
 
Vipi mateta mfaransa wa Crystal palace ama Semenyo mghana wa Bournemouth?
Semenyo kwa kwel ana mishe kama Mane vile hivyo anatufaa mno.
Mateta hapana hatatufaa maana mfumo kama utabakia huu huu wa sasa basi itakua haya haya ya Nunez, Benteke nk.
Sijui ni sadfa ama niaje timu yetu inakua na ukali zaidi tukitumia ma winga zaidi kuliko kupitia pale kati.
Semenyo anaweza kua mbadala wa Diaz🤔🤔🤔endapo PSG ama Barcelona wakileta mpunga wa maana.

YNWA
 
Lets play a game.

RANK THESE LFC FORWARDS

Fernando Torres
Luis Suarez
Mo Salah
Sadio Mane
Roberto Firmino
Mo salah
Luis suarez
Fernando torres
Sadio mane
Roberto firmino

Nikiwapanga kwa mapenzi yangu ya kiushabiki wa kiliverpool itakua ivi

Mo salah
Roberto firmino
Fernando torres
Sadio mane
Luis suarez

Luis suarez tangu atuletee dharau sijawah mpenda tena
 
QUESTIONS.

Suarez or Salah?

Torres or Firmino?

Fabinho or Mascherano?

Hyppia or VVD?

Agger or Matip?

Coutinho or Alexis?

Alexis or Wijnaldum?

Alonso or Thiago?

Mane or Salah?

Nunez or Milan Baros?

Henderson or Szobo?

Allison or Reina
Suarez or salah 👉salah
Torres or firmino 👉torres
Hyppia or VVD 👉vvd
Agger or Matip 👉Agger
Coutinho or alexis 👉coutinho
Alexis or Wijnaldum👉Wijnaldum
Alonso or Thiago 👉 alonso
Mane or salah 👉salah
Nunez or Milan baros👉milan baros
Henderson or szobo👉szobo
Allison or reina 👉allson

Nunez tumuwe na Mateja kezman yule wa chelsea😂😂😂
 
QUESTIONS;

Who is your favorite LFC player of all time?

Who is your favorite LFC player currently?

Who is the most underrated LFC player in our current squad?

Who is the most overrated LFC player in our current squad?

The player you hate the most?
1-steve g
2-salah
3-szobo
4-trent
5-suarez
 
Muweke pembeni SG8 kisha ndio tuwarank hao wengine
Iki kiumbe kiliibeba mgongoni liverpool bahat mbaya sana liverpool haikumtendea haki stive g😥😥😥 walishindwa kumletea wachezaj wakumsaidia kuchukua epl,ata FERGIE alilisema ili la liverpool kutomtendea haki STIVE G miaka yote ya kuibeba liverpool.
 
Back
Top Bottom