Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Janjajanja arts Arse8 na nyumbu,Dunda tu ardhi ya Mola hiiHilo goli la Nunez nakuhakikishia goli lingekuwa wazi angekosa.
Tembea kwenye ardhi ya mola kwa nidhamu.
N de A
Yeah jama amefanya save za maana aana mwishoni mwa mechi. Lakini bado tutashinda tu hiki kikombeDavid raya ametupa safari kidogo..kusubiri game ifuatayo!
InshaAllah...Yeah jama amefanya save za maana aana mwishoni mwa mechi. Lakini bado tutashinda tu hiki kikombe
Kwahiyo mwakani tunavaa adidas Bora aisee tunaweza kuona jezi kali
ThanksDaah aissseee. Hongereni bhana mabingwa
Mbona unatupongeza kabla ya wakati?Daah aissseee. Hongereni bhana mabingwa
Usiwe na wasiwasi. Shida ipo pale tunapowazia kuchukua ubingwa sisi wenyewe. Ila kwa wengine kama nyie, hakuna shida.Mbona unatupongeza kabla ya wakati?
Usije kutuletea gundu😆😂
Maana aseno bwana huwaga mba gundu
Mkianza tu kuwaza ubingwa, mkeka unachanika.
Kwahiyo nyie aseno mtachukua lini ubingwa?Usiwe na wasiwasi. Shida ipo pale tunapowazia kuchukua ubingwa sisi wenyewe. Ila kwa wengine kama nyie, hakuna shida.
Asenane ana point 55 na ana game 10 tuStep 1: Maximum Points Arsenal Can Achieve
• Arsenal currently has 54 points.
• They have 11 games remaining.
• The maximum points Arsenal can get is:
54 + (11 × 3) = 54 + 33 = 87 points.
Step 2: Points Liverpool Needs to Secure the Title
• Liverpool currently has 70 points.
• If Liverpool reaches 88 points, Arsenal cannot surpass them (since Arsenal’s max is 87).
• The points needed to reach 88:
88 - 70 = 18 points.
Step 3: How Many Wins Are Needed?
• Each win gives Liverpool 3 points.
• To get 18 points, Liverpool needs:
18 ÷ 3 = 6 wins.
Conclusion:
Liverpool needs 6 wins in their last 9 games to be champions, regardless of which witchdoctor Arsenal chooses to deploy.
Of those 6 needed wins, 5 will be played at Liverpool’s home ground Anfield.
Cc: Facebook