Bachelor OG
JF-Expert Member
- Aug 27, 2022
- 878
- 1,195
Kila msimu Liverpool inajiandaa kupoteza kama aseno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aiseee Psg ni katika timu niliyokua siizingatii kabisa, nilikua naichukulia kama timu flani hivi ya mabishoo tokea kipindi kile cha kina Neymar, ila hili pira wanalopiga wamenikumbusha ile prime Barca ya kina Xavi na Iniesta.PSG nyie ni miamba
Goli tatu uefaWazee mi shabiki lialia wa Arsenal jitahidini mshinde hii mechi. Sio kwa kuwa naipenda Liver bali kwa ajili ya Mo Salah, amekuwa na msimu bora sana na anastahili kabisa kubeba Balloon D'or.
Babu Leo kachoka sanaWazee mi shabiki lialia wa Arsenal jitahidini mshinde hii mechi. Sio kwa kuwa naipenda Liver bali kwa ajili ya Mo Salah, amekuwa na msimu bora sana na anastahili kabisa kubeba Balloon D'or.
Magoli ya penalti yalimpa Messi uchezaji bora kule Qatar au umesahau?Goli tatu uefa
Magoli saba ya penati hebu tuacheni
Wana kocha mzuri sana Luis Enrique[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aiseee Psg ni katika timu niliyokua siizingatii kabisa, nilikua naichukulia kama timu flani hivi ya mabishoo tokea kipindi kile cha kina Neymar, ila hili pira wanalopiga wamenikumbusha ile prime Barca ya kina Xavi na Iniesta.
He is tiredBabu Leo kachoka sana
Naona mfungo unamla
CrapIkitokea Liverpool kashinda mpira sio mchezo wa haki ni total dominance mechi zote mbili
Wote wawili, pamoja na baba YaoKabla ya kumuuza Nunez inabidi aanze kuuzwa kwanza Jota.
Haya madude ya hovyo tungeyaacha kule kwenye corrupt football yetuHao PSG walikuja hivi kufanya mazoezi na mkawafungulia mageti?
View attachment 3267269