Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

hawana squad....only 11 players akiumia mmoja timu inapotea kabisa,dalili natumaini mechi tano zilizopita

Akiumia De Gea wewe hata nafasi ya 10 hupati!!Kumbuka points 3 karibia zote mlizo shinda except na QPR na Hull ni De Gea kawapa!

Man U is one man team-De Gea
 
Akiumia De Gea wewe hata nafasi ya 10 hupati!!Kumbuka points 3 karibia zote mlizo shinda except na QPR na Hull ni De Gea kawapa!

Man U is one man team-De Gea

naamini hujawahi kumuona yule dogo kipa namba mbili akicheza.....
 
naamini hujawahi kumuona yule dogo kipa namba mbili akicheza.....

Kawa keeper namba 2 sababu hana uwezo kama wa De Gea!Namjua yule Lindergard(correct my spelling)!

De Gea kwa sasa ndiye kipa namba 2 kwa ubora duniani akishindwa tu na Emanuel Neaur wa Bayern!

Anawabeba lkn nyie hambebeki daaah
 
Kawa keeper namba 2 sababu hana uwezo kama wa De Gea!Namjua yule Lindergard(correct my spelling)!

De Gea kwa sasa ndiye kipa namba 2 kwa ubora duniani akishindwa tu na Emanuel Neaur wa Bayern!

Anawabeba lkn nyie hambebeki daaah

Kumbe eeeeehh basi De Gea ni mchezaji bora EPL.
 
Keeper bora,definitely!

Ila ni kweli yule dogo anajitahidi sana, tangu mwanzo wa msimu huu amkuwa akifungwa kwa makosa ya defence.
Nilimshuhudia akicheza kwa kiwango cha juu sana game ya Everton, Arsenal, Southmpton, Chelsea n.k
 
Ila ni kweli yule dogo anajitahidi sana, tangu mwanzo wa msimu huu amkuwa akifungwa kwa makosa ya defence.
Nilimshuhudia akicheza kwa kiwango cha juu sana game ya Everton, Arsenal, Southmpton, Chelsea n.k

Bila De Gea wangelala 7-3 kwa Liverpool,5-2 kwa Everton,Wangelala kwa Arsenal,Wangechapwa na Chelsea na hata juzi Banteke angewachapa!

Kibaya zaidi akina RRONDO wanajidanganya kama wao ni wazuri
 
Last edited by a moderator:

Nani alyemkataa LVG kuwa D.O.F mwaka 2012???

ni FSG au BR???
 
Bascombe reporting Shitty news about LFC as usual...
 
BR alisema akija LVG as D.O.F yy ataondoka

Exactly.....Na hapo ndipo FSG walipofanya kosa kubwa la kwanza kuhusu BR.

Tatizo FSG walidhani wamenunua Southampton, Aston Villa, etc. Hawakutambua kuwa they were buying an established tradition and a football powerhouse.
 
Bila De Gea wangelala 7-3 kwa Liverpool,5-2 kwa Everton,Wangelala kwa Arsenal,Wangechapwa na Chelsea na hata juzi Banteke angewachapa!

Kibaya zaidi akina RRONDO wanajidanganya kama wao ni wazuri

kwani De Gea ni mchezaji wa Liverpool??? nini maana ya timu?? kipa sio pambo ile ni kazi yake kuzuia magoli kwahio amefanya kazi ambayo imemleta OT na bado mtaendelea hivyo hivyo kipa kipa si tunachanja mbuga tu....hivi mko nafasi ya ngapi saba au nane??? njooni tuwauzie yule Lindgaard ni mzuri mara mia ya Mignolet lakini anadakia reserve....
 
Nani ni bosi...FSG au BR??

BR ndo alikuwa "the only young manager" ambaye alikubali kuja kuifundisha LFC..(target za FSG zilikuwa ni kupata kocha kijana)

Akina De boer, Martinez wote walikuwa wamechomoa, kumbuka club ilikuwa kwenye crisis sana, ni makocha vijana wachache sana ambao wangekubali kuichukua team..


FSG knew kuwa kocha yoyote kijana, Ambaye atakuja, lazima awe na watu wazoefu kwenye club, thats why walikuwa washamtarget LVG kama D.O.F (baada ya comolli kutimuliwa)..lakin kocha ambaye alithubutu kuichukua Club (BR) akagoma kabisa kabisa kufanya kazi chini ya LVG, na Akatishia kabisa kutokusign mkataba kama LVG atapewa udirector...So FSG waliamua kumchagua BR over LVG, coz a Young manager ndo ilikuwa priority ya kwanza...na LVG hakupewa kazi!
 

BR hamtaki D.O.F sababu ndiye alisababisha afukuzwe Reading
 

Sasa tupo kwenye page moja. Another sign ya weakness ya FSG....walikuwa wamepoteza mwelekeo since day 1. No matter what, a smart employer or manager hawezi kuyumbishwa kwenye suala la msingi kama hili na a newly recruited staff.

Mnachokiita sasa "kiburi" alicho nacho BR kumbe kilikuwa hatched, nurtured and nourished by FSG wenyewe.

Narudia kusisitiza support yangu kwa BR.....si kwa sababu ni kocha bora on the land lakini ni kwa sababu he's the best that we CAN have.

Sikatai pia kuwa ninyi mnaompinga BR mnazo hoja za msingi. Lakini nisichokubaliana nacho ni kumwangushia jumba bovu BR pekee huku mkiinyamazia role ya FSG kwenye kadhia hii. Yanayoonekana sasa kwa BR ni matokeo tu ya inadequacies kwenye management philosophy ya FSG na bodi nzima.
 

BR ni kitu kidogo sana katika DUNIA YA LFC, we can have more than that..

Hakuna Exprienced Coach ambaye atakataa kuja kuifundisha LFC, ila tu suala la kutarget young managers ndo linalofanya tuone BR ni special pale LFC...

FSG wanaweza wakabeba lawama katika Policy yao, lakin walipotake-over LFC, walitoa zaid ya £115m za usajili kwa Daglish lakin naye akafanya blunder kwenye usajili, 2012 walimpa limited budget BR katika usajili, tukalalamika saaaana, then msimu huu FSG wametoa zaid ya £120m za usajili lakin ni blunder tu bado katika usajili...ni kwamba tangu 2012, BR ametumia zaid ya £215m kwenye usajili, BUT our DEFENSE bado MBOVU..

Ukifatilia kwa undani, utagundua kuwa Hicho "Kiburi" tunachokisemea hapa, BR anacho tangu yupo Reading..ni kocha ambaye ana mengi sana ya kujifunza, lakin hatak kujifunza, Ni kocha ambaye anahitaj watu wazoefu katka Kuijenga team katika back-room yake lakin hatak hao watu...

FSG wana uwezo wa kumfukuza BR right a way, lakin wanachoconsder kwanza ni options kama wakimtoa, FSG hawapo interested kabisa na idea ya RB kurud LFC, na hata hivyo hawawez kumfukuza kocha sahv katkat ya msim, bora ingekuwa pale mwanzon kidogo...lakin kama hakutakuwa na signs za improvement mpaka mwisho wa msimu, usishangae kuona BR anaondoka pale...

BR ni mzuri sana katika attacking football...na hasa akiwa na right players, asa kwann asitafute watu wa kumsaidia katka defense na mtu mzoefu katka transfer market...??
 
Duh...

kweli X-mass ina nguvu..

Tuna Game leo Lads...X-mass ishaishaaa!!!!
 
Burnley (A)

Swansea (H)

Leicester City (H)...

9 pts...zote ni winnable!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…