Sasa tupo kwenye page moja. Another sign ya weakness ya FSG....walikuwa wamepoteza mwelekeo since day 1. No matter what, a smart employer or manager hawezi kuyumbishwa kwenye suala la msingi kama hili na a newly recruited staff.
Mnachokiita sasa "kiburi" alicho nacho BR kumbe kilikuwa hatched, nurtured and nourished by FSG wenyewe.
Narudia kusisitiza support yangu kwa BR.....si kwa sababu ni kocha bora on the land lakini ni kwa sababu he's the best that we CAN have.
Sikatai pia kuwa ninyi mnaompinga BR mnazo hoja za msingi. Lakini nisichokubaliana nacho ni kumwangushia jumba bovu BR pekee huku mkiinyamazia role ya FSG kwenye kadhia hii. Yanayoonekana sasa kwa BR ni matokeo tu ya inadequacies kwenye management philosophy ya FSG na bodi nzima.
BR ni kitu kidogo sana katika DUNIA YA LFC, we can have more than that..
Hakuna Exprienced Coach ambaye atakataa kuja kuifundisha LFC, ila tu suala la kutarget young managers ndo linalofanya tuone BR ni special pale LFC...
FSG wanaweza wakabeba lawama katika Policy yao, lakin walipotake-over LFC, walitoa zaid ya £115m za usajili kwa Daglish lakin naye akafanya blunder kwenye usajili, 2012 walimpa limited budget BR katika usajili, tukalalamika saaaana, then msimu huu FSG wametoa zaid ya £120m za usajili lakin ni blunder tu bado katika usajili...ni kwamba tangu 2012, BR ametumia zaid ya £215m kwenye usajili, BUT our DEFENSE bado MBOVU..
Ukifatilia kwa undani, utagundua kuwa Hicho "Kiburi" tunachokisemea hapa, BR anacho tangu yupo Reading..ni kocha ambaye ana mengi sana ya kujifunza, lakin hatak kujifunza, Ni kocha ambaye anahitaj watu wazoefu katka Kuijenga team katika back-room yake lakin hatak hao watu...
FSG wana uwezo wa kumfukuza BR right a way, lakin wanachoconsder kwanza ni options kama wakimtoa, FSG hawapo interested kabisa na idea ya RB kurud LFC, na hata hivyo hawawez kumfukuza kocha sahv katkat ya msim, bora ingekuwa pale mwanzon kidogo...lakin kama hakutakuwa na signs za improvement mpaka mwisho wa msimu, usishangae kuona BR anaondoka pale...
BR ni mzuri sana katika attacking football...na hasa akiwa na right players, asa kwann asitafute watu wa kumsaidia katka defense na mtu mzoefu katka transfer market...??