Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tusisahau Arsenal alimfunga PSG tena kimpira na sio kibahati kama tulivyoshinda sisi pale Paris.

Hivyo Mshabiki wa Liverpool hana uhalali wowote wa kumcheka Arsenal msimu huu unless awe dumbass.
Sasa wewe ndiyo unajua mpira
 
Exactly [emoji817] pia kikosi Cha Liver saivi tunahitaji reform ndani ya kikosi ukitoa first eleven pale Liverpool hakuna kinacho baki, hatuna wachezaji ambao wanaweza kutokea nje wakabadilisha game zaidi ya kuingia mizigo kwenye team.
Safi saana napenda anguko la livapoli
 
Mwanzo wa msimu tulikuwa vizuri sana ila competition zilivyo ongezeka zimefanya wachezaji wachoke [emoji24], PSG ingekutana na ile Liverpool ilivyo ifunga man city goli 2 mpaka city akaanza kupga long ball tungeongea mengine.
Kikubwa mmebomondwa
 
Mwanzo wa msimu tulikuwa vizuri sana ila competition zilivyo ongezeka zimefanya wachezaji wachoke 😭, PSG ingekutana na ile Liverpool ilivyo ifunga man city goli 2 mpaka city akaanza kupga long ball tungeongea mengine.
mlitumia nguvu nyingi sana kwenye mzunguko mkasau hzi mechi za kuviziana , nyie ndo wale wanawali kumi wapumbavu , walitumia mafuta mchana pasipo uhitaji usku ambapo yanahtajika wakawa hawana
 
Poleni guys.
Nilikuwa na usongo wa kumtoa PSV ili baadae nimtoe Madrid tukutane nusu fainali, ila nimehuzunika sana kusikia mmekufa kishujaa.

Sasa najiuliza, 'sijui nimuachie PSV anipige 8 leo ili nitoke na mimi?'
 
mlitumia nguvu nyingi sana kwenye mzunguko mkasau hzi mechi za kuviziana , nyie ndo wale wanawali kumi wapumbavu , walitumia mafuta mchana pasipo uhitaji usku ambapo yanahtajika wakawa hawana
Kwamba waliona ni boooonge la diliiiii kuongoza league phase wakati ni suala la kutafuta top 8 au top 24 tu mambo yakae sawa? Kwa hiyo unasema hawa majamaa zetu waliendekeza mbwembwe na misifa (wabongo wanaita 'show-off') kwenye mambo simple?
 
Hizi ni double standards, Curtis Jones hamjamwona??
Kelleher yupo
Anadaka penati japo Moja

Unaweka pazia Allison adake
Hapohapo ukampa Nunez apige penati wakati wote tunajua Nunez magoli ya yeye na kipa huwa hafungi.
Kocha mjinga sana.. tumeshindwa kwa upumbavu wake.
 
😁
 
Attachments

  • 20250312_171349.jpg
    20250312_171349.jpg
    326.4 KB · Views: 1
Kelleher yupo
Anadaka penati japo Moja

Unaweka pazia Allison adake
Hapohapo ukampa Nunez apige penati wakati wote tunajua Nunez magoli ya yeye na kipa huwa hafungi.
Kocha mjinga sana.. tumeshindwa kwa upumbavu wake.
Me Nunez alivyoenda kupiga penati, nilikuwa naombea afunge japo nilikuwa nashabikia PSG. Alivyokosa, nikaombea na Jones akose, akakosa kweli.
Nilikuwa najua ukiingia JF leo, lawama zote kwa Nunez utadhani penati amekosa peke yake
 
Ni wazi kuwa Nunez hawezi kufunga.

Hata Salah huwa anakosa, ila ushawahi sikia watu wakimlalamikia?

Mimi simpi Nunez lawama Bali Nampa mtu aliyempa nafasi ya kupiga.
 
Ni wazi kuwa Nunez hawezi kufunga.

Hata Salah huwa anakosa, ila ushawahi sikia watu wakimlalamikia?

Mimi simpi Nunez lawama Bali Nampa mtu aliyempa nafasi ya kupiga.
Ukiachana na yote, hivi ulikuwa umekaa kabisa upo serious unawaza utamtoa PSG, na pira lenu lakuvizia mshambuliwe, mpige counter??
 
Ukiachana na yote, hivi ulikuwa umekaa kabisa upo serious unawaza utamtoa PSG, na pira lenu lakuvizia mshambuliwe, mpige counter??
Kwahiyo arrangements ya penati
Kama kuna aliyetegemea tutashinda basi atakuwa na matatizo

Kwa kucheza dk 90 tupo vizuri ila bahati haikuwa upande wenu.

Tuna points70 Epl ambazo nyumbu na wenzao Ipswich wakiunganisha zao hawatufikii
Kaeni kwa kutulia.
 
Kelleher yupo
Anadaka penati japo Moja

Unaweka pazia Allison adake
Hapohapo ukampa Nunez apige penati wakati wote tunajua Nunez magoli ya yeye na kipa huwa hafungi.
Kocha mjinga sana.. tumeshindwa kwa upumbavu wake.
Tuwe na heshima kwa Allison, saves ngapi kafanya tangu mechi ya kwanza mpaka hii ya jana? Kumsema ni pazia ni kumkosea heshima aisee!
 
Back
Top Bottom