999 chatta
JF-Expert Member
- Apr 17, 2020
- 758
- 1,372
Sasa wewe ndiyo unajua mpiraTusisahau Arsenal alimfunga PSG tena kimpira na sio kibahati kama tulivyoshinda sisi pale Paris.
Hivyo Mshabiki wa Liverpool hana uhalali wowote wa kumcheka Arsenal msimu huu unless awe dumbass.
Safi saana napenda anguko la livapoliExactly [emoji817] pia kikosi Cha Liver saivi tunahitaji reform ndani ya kikosi ukitoa first eleven pale Liverpool hakuna kinacho baki, hatuna wachezaji ambao wanaweza kutokea nje wakabadilisha game zaidi ya kuingia mizigo kwenye team.
Kikubwa mmebomondwaMwanzo wa msimu tulikuwa vizuri sana ila competition zilivyo ongezeka zimefanya wachezaji wachoke [emoji24], PSG ingekutana na ile Liverpool ilivyo ifunga man city goli 2 mpaka city akaanza kupga long ball tungeongea mengine.
mlitumia nguvu nyingi sana kwenye mzunguko mkasau hzi mechi za kuviziana , nyie ndo wale wanawali kumi wapumbavu , walitumia mafuta mchana pasipo uhitaji usku ambapo yanahtajika wakawa hawanaMwanzo wa msimu tulikuwa vizuri sana ila competition zilivyo ongezeka zimefanya wachezaji wachoke 😭, PSG ingekutana na ile Liverpool ilivyo ifunga man city goli 2 mpaka city akaanza kupga long ball tungeongea mengine.
Kwamba waliona ni boooonge la diliiiii kuongoza league phase wakati ni suala la kutafuta top 8 au top 24 tu mambo yakae sawa? Kwa hiyo unasema hawa majamaa zetu waliendekeza mbwembwe na misifa (wabongo wanaita 'show-off') kwenye mambo simple?mlitumia nguvu nyingi sana kwenye mzunguko mkasau hzi mechi za kuviziana , nyie ndo wale wanawali kumi wapumbavu , walitumia mafuta mchana pasipo uhitaji usku ambapo yanahtajika wakawa hawana
Misimamo wa ligi upoje huko England?Safi saana napenda anguko la livapoli
Jamaa sijui kimemkuta nini?Kabla ya kumuuza Nunez inabidi aanze kuuzwa kwanza Jota.
Hizi ni double standards, Curtis Jones hamjamwona??Golini kudaka penati yupo Allison
Mpigaji wa penati amepewa Nunez
Kelleher yupoHizi ni double standards, Curtis Jones hamjamwona??
Me Nunez alivyoenda kupiga penati, nilikuwa naombea afunge japo nilikuwa nashabikia PSG. Alivyokosa, nikaombea na Jones akose, akakosa kweli.Kelleher yupo
Anadaka penati japo Moja
Unaweka pazia Allison adake
Hapohapo ukampa Nunez apige penati wakati wote tunajua Nunez magoli ya yeye na kipa huwa hafungi.
Kocha mjinga sana.. tumeshindwa kwa upumbavu wake.
Ni wazi kuwa Nunez hawezi kufunga.Me Nunez alivyoenda kupiga penati, nilikuwa naombea afunge japo nilikuwa nashabikia PSG. Alivyokosa, nikaombea na Jones akose, akakosa kweli.
Nilikuwa najua ukiingia JF leo, lawama zote kwa Nunez utadhani penati amekosa peke yake
Hujambo?Golini kudaka penati yupo Allison
Mpigaji wa penati amepewa Nunez
Ukiachana na yote, hivi ulikuwa umekaa kabisa upo serious unawaza utamtoa PSG, na pira lenu lakuvizia mshambuliwe, mpige counter??Ni wazi kuwa Nunez hawezi kufunga.
Hata Salah huwa anakosa, ila ushawahi sikia watu wakimlalamikia?
Mimi simpi Nunez lawama Bali Nampa mtu aliyempa nafasi ya kupiga.
Kwahiyo arrangements ya penatiUkiachana na yote, hivi ulikuwa umekaa kabisa upo serious unawaza utamtoa PSG, na pira lenu lakuvizia mshambuliwe, mpige counter??
MarahabaHujambo?
🤣🤣🤣
Haha huwezi mfunga donnarumma Kwa penalty kama zile.Ukiona penalty zimefika golini yupo Allison
Afu wapigaji ni akina Nunez, ujue hamna kazi hapo.
Tuwe na heshima kwa Allison, saves ngapi kafanya tangu mechi ya kwanza mpaka hii ya jana? Kumsema ni pazia ni kumkosea heshima aisee!Kelleher yupo
Anadaka penati japo Moja
Unaweka pazia Allison adake
Hapohapo ukampa Nunez apige penati wakati wote tunajua Nunez magoli ya yeye na kipa huwa hafungi.
Kocha mjinga sana.. tumeshindwa kwa upumbavu wake.