Akiongeza kitu kimoja tu:Stamina imuwezeshe kucheza dakika zote 90 kwa nguvu ile ile atakuwa kama SG yule wa Instanbul;SG ambayo wachezaji wote walikuwa mediocre lkn yy alikuwa anasimama kuongoza!
Can,Manquillo,Moreno,Markovic,na Lallana usajili wa ukweli sana!Baloteli,Lambert na Lovren mhhhh

Totts are fighting for the top four, and we are fighting to keep Gerrard in a team
what a bullshit
Totts are fighting for the top four, and we are fighting to keep Gerrard in a team
what a bullshit
Even if SG kafunga kwa penati ila kaonesha uwepo wake unafanya timu kuwa slow
sana
Breaking News-SG katangaza(muda si mrefu) kuwa huu ni msimu wake wa Mwisho na Liverpool. Nadhani mliokuwa mnampinga mmefurahi kusikia hili.
cc Pazi
Mimi nimepinga sana Stevie kucheza full match since last year, he has been misused and he doesnt agree with BR philosophy... ila kuondoka ni sad news, he should remain ili awe kwenye coaching staff baada ya muda
Maybe he will come back
Kipigo alichopata Chelsea kinanifanya nijihisi nimeshinda
Heri ya mwaka mpya wakuu
Mchokozi wewe!!!!......Heri ya mwaka mpya mtani,ila jana mlikuwa vizuri sana mkaja kuharibu,lakini hongereni hata kwa hilo.
Cc: Malafyale