Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Akiongeza kitu kimoja tu:Stamina imuwezeshe kucheza dakika zote 90 kwa nguvu ile ile atakuwa kama SG yule wa Instanbul;SG ambayo wachezaji wote walikuwa mediocre lkn yy alikuwa anasimama kuongoza!

Can,Manquillo,Moreno,Markovic,na Lallana usajili wa ukweli sana!Baloteli,Lambert na Lovren mhhhh

tusubiri tuone MB atafanyaje akiwa pembeni ya DS...
 
Akiongeza kitu kimoja tu:Stamina imuwezeshe kucheza dakika zote 90 kwa nguvu ile ile atakuwa kama SG yule wa Instanbul;SG ambayo wachezaji wote walikuwa mediocre lkn yy alikuwa anasimama kuongoza!

Can,Manquillo,Moreno,Markovic,na Lallana usajili wa ukweli sana!Baloteli,Lambert na Lovren mhhhh

Baloteli,Lambert na Lovren hawa woto uza jumlisha na Iago aspas , Lorry ,Luis Albato, Borin, Johnson tafuta striker
 
Totts are fighting for the top four, and we are fighting to keep Gerrard in a team

what a bullshit
 
Totts are fighting for the top four, and we are fighting to keep Gerrard in a team

what a bullshit

BR asee...yaan haelewek kabisa, jana kapatia leo katia tope...Gerrard ni wa dk 75 tena free roles... Tunarud miaka ileile ya nafas ya 6,7,8
 
Natamani BR atimuliwe kazi kabla sijaamka asubuhi ananikera sana SG kachoka yaani akiendelea tutashika nafasi ya 12
 
SG ahamie kwa rentboys ama shitty ili afanye pata potea ya kubeba angalau kombe la EPL kabla ya kutundika daluga..
 
Breaking News-SG katangaza(muda si mrefu) kuwa huu ni msimu wake wa Mwisho na Liverpool. Nadhani mliokuwa mnampinga mmefurahi kusikia hili.
cc Pazi

Mimi nimepinga sana Stevie kucheza full match since last year, he has been misused and he doesnt agree with BR philosophy... ila kuondoka ni sad news, he should remain ili awe kwenye coaching staff baada ya muda

Maybe he will come back
 
Siku hizi Steve G hata body language imebadilika, nafikiri pia bado yuko haunted na ile slip ya Demba Ba.
 
SG alijiuzuru team ya Taifa ili acheze games nyingi Liverpool so kitendo cha kocha BR kumpunguzia games kimemkera sana!

Umri umeenda tumtakie tu mafanikio huko aendako!!
 
Mie uvumilivu umenishinda BR aondoke tu...ili niendelee kufatilia corps yaani ananiudhi sana
 
Br nimshenzi sana.kwa kweli na timu ndio ishamshinda nahisi hata yeye ashalijua hilo now hapa anasubilia tuu atimuliwe nafikilia atashukuru sana aisee.

Maana kwa suala la defenc naona niugonjwa sugu ambao tokea msimu uliopita kashindwa kuutibu kabisaa.

Game nyingi sana kwa msimu uliopita tulipoteza au kutoa suruhu kwa kufungwa au kutoa suruhu kutoka tukiongoza.
Kama tatizo la defens angelipatia tiba tokea msimu ulio pita i hope mpaka leo hii tungekuwa mbali sana
 
NIMEUMIA SANA SANA KUONA MY HERO MY LEGEND STIVIE G KUONDOKA LIVER....DAAAH SINA RAHA ATA KIDOGO YAN, BORA ATA NINGEKUA NAKUONA BENCH NINGEFURAH SANA...urud cku moja
 
Mchokozi wewe!!!!......Heri ya mwaka mpya mtani,ila jana mlikuwa vizuri sana mkaja kuharibu,lakini hongereni hata kwa hilo.

Cc: Malafyale

Asante, Nawe pia mtani mwaka mwema

SG anatuharibia fast movement kabisa na BR anajifanya haoni kabisa too sad kwa kweli

Ila Tots kiukweli wamefanya mwaka wangu uanze salama kabisa mtani
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom