Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mchokozi wewe!!!!......Heri ya mwaka mpya mtani,ila jana mlikuwa vizuri sana mkaja kuharibu,lakini hongereni hata kwa hilo.

Cc: Malafyale

Team yako ya tia maji tia maji nayo imeanza kuchoka ehehehehehe!Mwaka huu sisi tunasema mbombo jilipo maana mhhh!

Nasikia mnataka kumrudisha Giggs kama winga arudishe kasi yenu ehehehehehe
 
SG for Liverpool
Fukuza kazi BR hapo May mpe team SG na msaidizi wake Carra!
Macman na akina Owen rudisha kwenye kamati ya ushauri,Bruce mpe kama kocha wa makipa!!

Barca ilifanya hivi kwa kuwapa kazi wachezaji wake akina Pep na tulishuhudia Barca bora kabisa!Inzaghi kaifufua Milan na mifano inazidi kuendelea
 
....and ZERO EPL MEDAL....

we have stars who havent won EPL but are well respected, did Gaza win it??

and we have crappy players like Luke Chadwick, Bebe, DjembaDjemba who won EPL

Messi na Ronaldo hawajawahi kushida world cup yet they are regarded as the finests

Lets cut the cr@p and salute Stevie for his achievement, he won UCL by taking Liverpool single handed, he won Europa, European super cup, FA, carling etc.

Stevie has been humble and never asked for skyhigh salaries like 300K per week...

If you can't appreciate Stevie, then you are one of those mediocre people who never appreciate others

Its sad situation, i used to respect you alot kama mwanamichezo but this one is hard to take
 
whether u can take it or not....u respect me or not i just stated A FACT....he has never won EPL....i didnt say he is a mediocre player or whatever.
 
mkuu kumbuka newcastle walifanya hivyo hivyo kumpa Shearer timu ikamshinda.
 
whether u can take it or not....u respect me or not i just stated A FACT....he has never won EPL....i didnt say he is a mediocre player or whatever.

It doesn't cost a penny to respect legends
 
and I DIDNT DISRESPECT HIM....i just stated the FACT.

Did Ronaldo Lima won CL?NOOOOOOOOOOOOO
Did David Villa won CL,World Cup,Euro,Pichichi,and list goes on?YESSSSSSSSSSS

Is David Villa even close to De Lima?Mwenye macho aambiwi tazama

SG pekee yake alibeba CL,na mwaka 2007 akaipelaka team fainali!Huyu mkongwe aheshimiwe RRONDO
 
Last edited by a moderator:

you guys amaze me!!!! where did i disrespect him??? i just stated the obvious....HE HAS NEVER WON EPL....thats a fact NOT DISRESPECT.......
 
you guys amaze me!!!! where did i disrespect him??? i just stated the obvious....HE HAS NEVER WON EPL....thats a fact NOT DISRESPECT.......

Hadi wanaacha soka De Gea,Jones,RVP na hata Falcao kama watazidi kung'ang'ania MAN U hawachukui CL ng'oo ehehehehehehehe
RRONDO namuonea sana huruma Janujaz pia!Huyu hadi anaacha soka hata EPL haipati labda ahame hapo ehehehe
 
Last edited by a moderator:
Hadi wanaacha soka De Gea,Jones,RVP na hata Falcao kama watazidi kung'ang'ania MAN U hawachukui CL ng'oo ehehehehehehehe
RRONDO namuonea sana huruma Janujaz pia!Huyu hadi anaacha soka hata EPL haipati labda ahame hapo ehehehe

time will tell mkuu...but De Gea,Jones,RVP washachukua mkuu umekuwa msahaulifu hivyo....tena RVP WON IT HIMSELFF
 
Ebu amka, naona bado umelala. Tuko 2015, sio 1970s-1980s.

Wewe ushabiki ni wa miaka gani au ushabiki ni mtu tu binafsi. Na je historia ya timu inafutikaje kama team ni kubwa???
 
Attachments

  • 1420272758648.jpg
    8.2 KB · Views: 87
mkuu kumbuka newcastle walifanya hivyo hivyo kumpa Shearer timu ikamshinda.

Nadhan aanzie kwanza timu dogo apate uzoefu na changa moto za ukocha then aje liver kama kocha msaidiz baadae apewe timu...OR asiondoke akubal kuchek gemu chache ad astaaf uku akipata uzoefu kama Giggs na akistaafu awe kocha msaidiz kwanza.......SITAK KUONA GERRARD AKIONDOKA LIVERPOOL WE STILL NEED HIM TENA SANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…