Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Team yako ya tia maji tia maji nayo imeanza kuchoka ehehehehehe!Mwaka huu sisi tunasema mbombo jilipo maana mhhh!

Nasikia mnataka kumrudisha Giggs kama winga arudishe kasi yenu ehehehehehe

Tia tia maji lakini tunasonga mbele si tuna nafuu kuliko nyie,wewe tulia tu utaona nani nje nani ndani.....
 
Quotes mbalimbali za watu maarufu kwenye soccer kuhusu steven gerrard

 
He said no to Chelsea thrice, said no to Bayern, Real Madrid and AC Milan when they were European champions and we were in the UEFA Cup. #SG
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…