Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ukiwasikiliza kuanzia kina Suarez mpaka hawa kina Can. Wote walikuwa inspired kuja LFC kwa sababu ya SG, hakuna kingine kilichowavuta zaid, maana mishahara ya LFC ni midogo saaana, so uwepo wa SG umevutia a lot of players...sasa SG hatokuwepo na tutabak na Clueless manager ambaye sijui atamvutia nan pale club.
 
Kwa mfano tu Bayern wants £15m for Shaqiri BUT unapeleka £14m asa si UJINGA huo??...hyo £1m unabana ya nn???

Na am sorry to say this, me ntafurahi akija shaqir coz mpaka sasa hatujuhi future ya Raheem kwenye club...
 
"I would not be surprised if we saw him become the boss at Anfield," Houllier told Sky Sports News.

Watu uwa wanachemsha kuwaza kwamba kila mchezaji mzuri anaweza kuja kuwa kocha cum meneja mzuri wa klabu ya soka.

Katika makocha cum mameneja waliofanya na wanaofanya vizuri, ni WACHACHE SANA walikuwa wachezaji mahiri..
 
Kwa mfano tu Bayern wants £15m for Shaqiri BUT unapeleka £14m asa si UJINGA huo??...hyo £1m unabana ya nn???

Na am sorry to say this, me ntafurahi akija shaqir coz mpaka sasa hatujuhi future ya Raheem kwenye club...

FSG?? This is where they need to step in quick.
 
Huyo shaqir akibuma na kuwa flop sjui tutaambiwa ulikuwa ni usajili wa nan??? Committee au BR???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…