Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

scholes got 4/5/6/8?? EPL MEDALS i dont remember....... Gerrard got NONE!!
scholes got 2 UCL gerrard got ONE
scholes got,......FA CUPS......let me stop here.

So you tryna compare The real Gerrad akiwa kwenye prime yake na Scholes?????
 
Ojo bado mdogo, anakua, ila kile kijeba (Xeridan) ni hovyo kabisa bora hata kumsaini Aaron Lennon

Dalali wake kamrusha hewani mwaka mzima, hakuna kitu, wamepanga bei weeee hadi wameacha sasa hivi wanasikilizia tu

hahahahahahahahah!!!!

me mwenzako nasubiria kuona Kama akiflop lawama atatupiwa nan...BR or Committee..

kwangu mm nadhan priority ingekuwa ni KEEPER..

japokuwa Shaqir inaweza kuwa ni great addition pia...

Rumourz zinasema LFC wanaconsider kumrudisha IBE kutoka Derby county...manake naona McClaren analalamika huyo, IBE kawa mchezaji muhimu sana kwenye team yake..

Oooooh! nlisahau kama kuna Luis Alberto...
 
hata Luis Alberto angepata fursa ba boluteli angeng'aa

we have good talents --- better than kijeba shaqiri
 
So you tryna compare The real Gerrad akiwa kwenye prime yake na Scholes?????

anaongea tu, hata Djimi traore na igor biscan walichukua UCL, kama tunaangalia ubora kwa style hiyo then hatujui soka

MEssi hana kombe la dunia

with those analogues, RRondo anaweza kusema George Weah hakua a great african star

Gerro is way better
 
Ukiwasikiliza kuanzia kina Suarez mpaka hawa kina Can. Wote walikuwa inspired kuja LFC kwa sababu ya SG, hakuna kingine kilichowavuta zaid, maana mishahara ya LFC ni midogo saaana, so uwepo wa SG umevutia a lot of players...sasa SG hatokuwepo na tutabak na Clueless manager ambaye sijui atamvutia nan pale club.

Na inauma zaidi SG kaondoka Liverpool sababu ya BR alipomuambia kumbe kuwa HANA UHAKIKA TENA wa KUWA AUTOMATIC STARTER!

Hii ina maana sasa SG yupo kundi moja na akina Kolo na nasikia ILIMUUMA SANA!SG angebaki hata kwa miaka miwili ampe free role maana anajua bado kupiga na kuhamisha mipira mirefu

Nina uhakika 100% SG atarudi kama kocha tukimfukuza huyu BR
 
RRONDO una miss kitu hiki:Scholes alikuwa na bahati ya kucheza na greatest Manchester ever na HAIJI tena kutokea labda miaka 100 ijayo!Scholes alicheza na Dwight Yorke na Andy Cole,alicheza na Jamp Stam na akina Beckam!Alicheza na Roy Keane,Teddy Sheringham,Ruud Van na others the greatest!Pia una miss ukweli kuwa Man U kupata tena hata EPL moja tu sahahu kaka!

Then uchezaji unapimwa kwa mchango wako ww mwenyewe!Akiwa na team mbovu ya akina Dudek huyu jamaa SG kaipa CL Liverpool na mwaka unaofutia kaipeleka fainali tena!SG hajawahi kuwa na kikosi imara kama alichofaidika nacho Scholes

MosDef ndugu yangu BR kamkimbiza SG KWA KUMUAMBIA SIO CHAGUO la moja kwa moja tena bali agombee namba!!
 
Na inauma zaidi SG kaondoka Liverpool sababu ya BR alipomuambia kumbe kuwa HANA UHAKIKA TENA wa KUWA AUTOMATIC STARTER!

Hii ina maana sasa SG yupo kundi moja na akina Kolo na nasikia ILIMUUMA SANA!SG angebaki hata kwa miaka miwili ampe free role maana anajua bado kupiga na kuhamisha mipira mirefu

Nina uhakika 100% SG atarudi kama kocha tukimfukuza huyu BR

nyie washabiki mnashangaza sana....nyinyi ndio mlikuwa mnasema kila siku humu SG hafai kuanza,anaslow down timu yenu na malalamiko kibao!!! sasa BR kafanya kitu sensible ambacho ni ku-manage playing time ya SG kwasababu he is no longer 24yrs old,he is 34!!! kitu hicho hicho SAF kakifanya kwa scholes/giggs na wakaweza kucheza kwa muda mrefu zaidi.....sioni kwanini mnaacha kumshangaa SG mnalaumu eti BR ndio kasababisha aondoke...stop sugarcoating SG is past his best and he doesnt deserve starting berth EVERY GAME.....BR IS RIGHT
 
Is Michael Carrick 23?Mbona Carrick ana miaka 33 akiwa mzima anaanza Man U?Miaka 34 na miaka 33 kuna tofauti yyt kwenye soka tena mnacheza ligi moja?

Issue yetu ilikuwa kumpa SG free role sio ASIWE na uhakika wa namba kama akina Toure!
 
SG is gone...

Tuache malumbano.. tuangalie what is next to liverpool fc as a Team....
 
Is Michael Carrick 23?Mbona Carrick ana miaka 33 akiwa mzima anaanza Man U?Miaka 34 na miaka 33 kuna tofauti yyt kwenye soka tena mnacheza ligi moja?

Issue yetu ilikuwa kumpa SG free role sio ASIWE na uhakika wa namba kama akina Toure!

SG silaha yake kuwa ni[ilikuwa] energy,lung bursting runs all around the pitch,box to box.....carrick silaha yake ni brain na long passes hakimbii kimbii hovyo kama SG.
 
Scholes alikuwa na bahati ya kucheza na greatest Manchester ever na HAIJI tena kutokea labda miaka 100!

Pia una miss ukweli kuwa Man U kupata tena hata EPL moja tu sahahu kaka!!!

Doh! Kaka umekuwa mtabiri siku hizi?

Busby babes walitamba miaka ya 1960 hadi 1970. SAF alivyokuja mwaka 1986, ikamchukua si zaidi ya miaka 10 kutengeneza timu nyingine kali. Sasa kipi kinakufanya useme itachukua miaka 100 kutengeneza timu nyingine kali ya United?

Na hilo la kusema kwamba United HAITOPATA TENA EPL hata moja tu, sababu ni zipi?
 
SG silaha yake kuwa ni[ilikuwa] energy,lung bursting runs all around the pitch,box to box.....carrick silaha yake ni brain na long passes hakimbii kimbii hovyo kama SG.

Wakati SG anapewa mikoba ya tean ya Taifa huyu Carrick hata ku make kwenye wachezaji 23 wa Euro 2012 na WC alishindwa!

Kwa SG kijana wako Carrick alisubiri sana
 
So you tryna compare The real Gerrad akiwa kwenye prime yake na Scholes?????

Na Scholesy kwenye prime yake? Si ni Scholesy alikuwa akililiwa na waingereza arudi national team wakati kastaafu? Umesikia waingereza wakimlilia Gerard arudi?

Pili, nipe vigezo vinavyomfanya Gerard awe bora kuliko Scholesy.
 
Doh! Kaka umekuwa mtabiri siku hizi?

Busby babes walitamba miaka ya 1960 hadi 1970. SAF alivyokuja mwaka 1986, ikamchukua si zaidi ya miaka 10 kutengeneza timu nyingine kali. Sasa kipi kinakufanya useme itachukua miaka 100 kutengeneza timu nyingine kali ya United?

Na hilo la kusema kwamba United HAITOPATA TENA EPL hata moja tu, sababu ni zipi?

Manchester ya maana zaidi imetoka chini ya Mzee Ferguson!Hizo zingine zilikuwa far behind kwa Liverpool
 
Wakati SG anapewa mikoba ya tean ya Taifa huyu Carrick hata ku make kwenye wachezaji 23 wa Euro 2012 na WC alishindwa!

Kwa SG kijana wako Carrick alisubiri sana

Ni kweli Gerard ni mkali ya Michael..lakini kwa Scholesy, Gerard atasubiri sana...
 
Back
Top Bottom