Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Manchester ya maana zaidi imetoka chini ya Mzee Ferguson!Hizo zingine zilikuwa far behind kwa Liverpool

Wakati Busby anachukua European Cup (UCL ya sasa) mwaka 1968, Liverpool ilikuwa ina historia gani Ulaya?!?

Liverpool imeanza kutamba baada ya Busby..miaka ya 1970 na 1980...

Ila jibu maswali yangu..
 
Ni kweli Gerard ni mkali ya Michael..lakini kwa Scholesy, Gerard atasubiri sana...

SG kawahi kuwa mchezaji bora wa EPL mwaka 2005 enzi hizo Scholes nae yupo kwenye prime time!Scholes hajawahi kuwa mchezaji bora wa EPL

SG kateuliwa kuwa nahodha wa Uingereza mwaka gani?Wakati anateuliwa Scholes alikuwa kaisha staafu soka?
 
Na Scholesy kwenye prime yake? Si ni Scholesy alikuwa akililiwa na waingereza arudi national team wakati kastaafu? Umesikia waingereza wakimlilia Gerard arudi?

Pili, nipe vigezo vinavyomfanya Gerard awe bora kuliko Scholesy.

he is just blinded na hatred towards united...ndio maana nikamwambie akawaulize akina zidane/xavi ni midfielder gani wa kiingereza wanamkubali....
 
Wakati SG anapewa mikoba ya tean ya Taifa huyu Carrick hata ku make kwenye wachezaji 23 wa Euro 2012 na WC alishindwa!

Kwa SG kijana wako Carrick alisubiri sana

nilifikiri unalinganisha umri na roles zao kwenye timu...ok carrick has got 1/2/3?? EPL MEDALS,REMIND ME...SG GOT NONE!!!
 
sg kawahi kuwa mchezaji bora wa epl mwaka 2005 enzi hizo scholes nae yupo kwenye prime time!scholes hajawahi kuwa mchezaji bora wa epl

sg kateuliwa kuwa nahodha wa uingereza mwaka gani?wakati anateuliwa scholes alikuwa kaisha staafu soka?

try to compare epl best player award na epl title. I'd rather say titles......
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
nyie washabiki mnashangaza sana....nyinyi ndio mlikuwa mnasema kila siku humu SG hafai kuanza,anaslow down timu yenu na malalamiko kibao!!! sasa BR kafanya kitu sensible ambacho ni ku-manage playing time ya SG kwasababu he is no longer 24yrs old,he is 34!!! kitu hicho hicho SAF kakifanya kwa scholes/giggs na wakaweza kucheza kwa muda mrefu zaidi.....sioni kwanini mnaacha kumshangaa SG mnalaumu eti BR ndio kasababisha aondoke...stop sugarcoating SG is past his best and he doesnt deserve starting berth EVERY GAME.....BR IS RIGHT
Kuna ukweli hapa!
 
SG kawahi kuwa mchezaji bora wa EPL mwaka 2005 enzi hizo Scholes nae yupo kwenye prime time!Scholes hajawahi kuwa mchezaji bora wa EPL

SG kateuliwa kuwa nahodha wa Uingereza mwaka gani?Wakati anateuliwa Scholes alikuwa kaisha staafu soka?

Kaka kumbe wewe mweupe hivi?

Ngoja twende taratibu: kwanza, Gerrard kawa official national team captain wakati England ikijiandaa kwenda Euro 2012, Scholes kastaafu soka Agosti 2004. Pili, kuwa captain ndiyo kumaanisha ubora wa mchezaji kuliko wengine? Ina maana Terry ni bora kuliko Hazard? Wakati Dunga ni captain wa Brazil, ina maana alikuwa bora kuliko Romario na Bebeto? Au Cafu alikuwa bora kuliko Ronaldo na Dinho?

Pili, unakuwa mchezaji bora wa ligi wakati mwenzako ameongoza timu yako kushinda kombe la ligi? Wapi na wapi? Hata Hasselbaink alikuwa mfungaji bora wa La Liga huku timu yake Athletico Madrid ikishuka daraja mwaka 1999/2000.

Jaribu tena...bado hujatoa vigezo vinavyomfanya Gerrard awe bora ya Scholes..

One more thing: unajua kwanini Scholes alistaafu soka mapema? Ni kutokana na mfumo wa timu ya Uingereza kumtumia yeye katika wings ili eti kuwaaccommodate Gerrard na Lampard. Pia kutokana na timu kutocheza mchezo wa kumiliki mpira, kitu ambacho Scholesy hana mpinzani kwa midfielders wa UK.

Messi, Xavi na Xabi waliwahi kusema kuwa Scholesy angekuwa anacheza Spain angepata heshima kuliko ilivyo sasa. Ndiyo maana pale La Masia utumia video clips za Scholesy kufundishia wachezaji. Scholesy is the most elegant and technically gifted player England has ever produced...

Check quotes za magwiji mbalimbali juu yake:

http://en.m.wikiquote.org/wiki/Paul_Scholes
 
SG kawahi kuwa mchezaji bora wa EPL mwaka 2005 enzi hizo Scholes nae yupo kwenye prime time!Scholes hajawahi kuwa mchezaji bora wa EPL

SG kateuliwa kuwa nahodha wa Uingereza mwaka gani?Wakati anateuliwa Scholes alikuwa kaisha staafu soka?

Ongezea na hizi.. ImageUploadedByJamiiForums1420366698.110988.jpgImageUploadedByJamiiForums1420366725.458006.jpgImageUploadedByJamiiForums1420366741.819548.jpgImageUploadedByJamiiForums1420366776.884161.jpgImageUploadedByJamiiForums1420366789.806480.jpgImageUploadedByJamiiForums1420366803.132729.jpgImageUploadedByJamiiForums1420366817.036790.jpg
 
Gerrard is selfish , he didn't want coming off the bench. Rogers wanted him to stay cos the lads at the club were yet to benchmark him. Young players had a lot to learn from him just like Giggs did at Manchester United, If he loved the club as much as he claims, he'd accept that he can't play as much as he used to.
 
Kaka kumbe wewe mweupe hivi?
Hapa watu watapima mm na ww nani mweupe!!
1.Taja kikosi cha Man U alicho chezea Scholes na onyesha kama bila yy Man U isingetwaa ubingwa

2.Baada ya kustaafu Man U walichukua ubingwa mara ngapi bila kuwepo Scholes

3.Mchukue SG muondoe kwenye kikosi cha Liverpool kuanzia 2000-2012 then pima kama wangechukua hata FA

Kaka unazidi kujiabisha tu!Scholes effect yake Man U ilikuwa ndogo sana hata bila yy Man U walizidi kutwaa ubingwa!Bila SG Liverpool wangetwaa nn?Hata Cardif Capital Cup mwaka juzi tusingechukua!
Nzi njoo hata nizidi kukufunza
 
Last edited by a moderator:
try to compare epl best player award na epl title. I'd rather say titles......

My point:Scholes alipo staafu Man U walitwaa EPL mara kibao tu!!SG angeondoka Liverpool hata FA wasingechukua

Pundits inabidi uangalie sana kwenye team yako una nani na msaada wako ni nn!Huyu hata enzi za Babu akiwa kwenye prime time yake alishindwa kuwa EPL player of the year
 
kocha mfupi, wachezaji wote wafupi, ndio maana tunakua bullied kitoto, we need big players who a fast... Martinez, Origi, wanafit the frame

As United fan,wewe ndio Liverpool fans ambaye ninakukubali.Huwa unaongea ukweli na kuweka ushabiki pembeni
 
Doh! Kaka umekuwa mtabiri siku hizi?

Busby babes walitamba miaka ya 1960 hadi 1970. SAF alivyokuja mwaka 1986, ikamchukua si zaidi ya miaka 10 kutengeneza timu nyingine kali. Sasa kipi kinakufanya useme itachukua miaka 100 kutengeneza timu nyingine kali ya United?

Na hilo la kusema kwamba United HAITOPATA TENA EPL hata moja tu, sababu ni zipi?

Euro ya 2004 Scholes anawayeyusha tu Waingereza hadi media zinamponda!Hajawahi kuwa bora ukiacha kubebwa na weledi wa kikosi cha Babu!

Kumfananisha SG na Scholes ni matusi makubwa hasa kama unajua kuchambua soka
 
Attachments

  • 1420369273759.jpg
    1420369273759.jpg
    64.1 KB · Views: 67
My point:Scholes alipo staafu Man U walitwaa EPL mara kibao tu!!SG angeondoka Liverpool hata FA wasingechukua

Pundits inabidi uangalie sana kwenye team yako una nani na msaada wako ni nn!Huyu hata enzi za Babu akiwa kwenye prime time yake alishindwa kuwa EPL player of the year

Gerrard since wameondoka kina Hamman,Alonso,Riise hakuna Cha maana alichofanya siku hizi kazi yake kubwa ni kupiga penati na last season yeye ndiye kawakosesha ubingwa

Wachezaji wengi wa Kingereza hawana talent Lampard,Giggs,Beckham,Caragher,Neville, Terry,Rooney wote wanaangukia kwenye hili kundi but Scholes alikuwa daraja lingine kabisa
 
Hapa watu watapima mm na ww nani mweupe!!
1.Taja kikosi cha Man U alicho chezea Scholes na onyesha kama bila yy Man U isingetwaa ubingwa

2.Baada ya kustaafu Man U walichukua ubingwa mara ngapi bila kuwepo Scholes

3.Mchukue SG muondoe kwenye kikosi cha Liverpool kuanzia 2000-2012 then pima kama wangechukua hata FA

Kaka unazidi kujiabisha tu!Scholes effect yake Man U ilikuwa ndogo sana hata bila yy Man U walizidi kutwaa ubingwa!Bila SG Liverpool wangetwaa nn?Hata Cardif Capital Cup mwaka juzi tusingechukua!
Mbu njoo hata nizidi kukufunza

Soccer inachezwa na wachezaji 11, ingawa wanazidiana uwezo uwanjani, lakini hakuna mchezeji anaweza kushinda match peke yake, aliyeweza kujaribu kwa kiasi kikubwa ni Maradona 'D10S' tu, akiwa na Argentina na Napoli, lakini hata yeye hakuwa peke yake uwanjani

SG alikua mzuri sana, lakini media ya waingereza wakati mwingine inapotosha ukweli, kuna watu walikua wanamfanya ang'ae ambao hawapewi credit kama za SG particularly Xabi Alonso ambaye toka aondoke Liverpool, SG hajawahi kuaffect the game kama wakati akicheza alongside Alonso. Pia wapo kina Torres, Callagher na Mascherrano walimfanya SG ang'ae during his prime.
Hata ile fainali ya 2005 Vs Milan, kuna chumvi nyingi sana zinaongezwa kuhusu role ya SG, no one talks of Xabi Alonso, Vladimir Smicer au Dudek's heroics kwenye zile penati.
Na tukiacha hiyo match SG alikua anavurunda kwenye big stages Vs the big boys ndio maana SAF alimponda kwamba alikua hafurukuti mbele ya Scholes na Keane, hata mwaka jana ali 'slip' wakati aliotakiwa kusimama na kuicost club yake EPL title.
Scholes alikua bora kuliko hawa media darlings Steve na Frankie, kama T.Henry alivyosema, Scholes hakua na kiherehere cha kupenda u-celebrity wala kutaka sifa zote za mafanikio ya team apewe yeye, in fact ilikua nadra sana kumsikia Scholes anaongea na media enzi za uchezaji wake. Lakini kwa wanaojua soccer wanajua Scholes was miles away from Steve and Frankie combined.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Nzi
Gerrard since wameondoka kina Hamman,Alonso,Riise hakuna Cha maana alichofanya siku hizi kazi yake kubwa ni kupiga penati na last season yeye ndiye kawakosesha ubingwa

Wachezaji wengi wa Kingereza hawana talent Lampard,Giggs,Beckham,Caragher,Neville, Terry,Rooney wote wanaangukia kwenye hili kundi but Scholes alikuwa daraja lingine kabisa

Kaka katika hao jamaa, Giggs was talented, very talented. Huyu Bale Madrid wamemnunua kwa record ya Dunia hamgusi Giggs 'mzee' hata nusu.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Euro ya 2004 Scholes anawayeyusha tu Waingereza hadi media zinamponda!Hajawahi kuwa bora ukiacha kubebwa na weledi wa kikosi cha Babu!

Kumfananisha SG na Scholes ni matusi makubwa hasa kama unajua kuchambua soka

Kwa hiyo unapima ubora kwa idadi ya michezo?

Pale juu nimekwambia kwanini Scholesy alistaafu mpira mapema, hadi waingereza wakawa wanamlilia arudi. Wewe bado unaleta stori za wanywa kahawa. Angekuwa anawayeyusha wangekuwa wanamlilia arudi timuni?

Scholesy hata siku moja hajawahi kuwa kimbelembele kwenye media, wakati akicheza soka.
 
Mkuu keeper ni sawa lakini tunatatizo kubwa kubwa pia la striker

Kama tunataka ku-win anything this term au hata ku-crash kwenye top 4, inabidi tuwe realistic and therefore we should address tatizo la msingi la timu yetu, which is MEDIOCRE DEFENDING.

Strikers waliopo kwenye market kwenye hii transfer window hawawezi kuwa game changers na huu ni ukweli. Anayemjua game changer aliyepo sokoni sasa hivi atuambie. Option iliyopo ni ku-reinforce strike force yetu kwa kuwapa opportunity akina Ibe (arudishwe) na Suso.....wakipangwa mechi 2 au 3 on the trot hapana shaka confidence yao itaongezeka. Kama kwa Sterling iliwezekana kwa nini ishindikane kwa hawa wengine?

So the solution for our strike force problem is just to appropriately shuffle the existing pack.

Nimesema tatizo la msingi ni MEDIOCRE DEFENDING. Sijasema MEDIOCRE DEFENDERS kwa sababu mimi nadhani tatizo lipo zaidi kwenye mfumo na siyo personnel. Maana kama defenders ndiyo tatizo how come Terry-Cahill pairing didn't appear to work effectively kwenye England national team lakini wakicheza pamoja pale Chelshit ni ukuta wa chuma?? So hapa tuna tatizo ambalo kiini chake kinaanzia pale Melwood and this is for BR to fix, and fast!

What to do then? Get a defensive coaching team to exclusively (almost independently) work on the existing personnel - if BR doesn't buy into this then I think am going to have to change my mind about how I rate him.
Kama tukipata reinforcement kwenye eneo la GK itakuwa bonus - nasikia hawa hapa wanaweza kuwa available: Chech, Ochua (yule wa Mexico) and Valdes.

Also let's not forget that famous quote from Fergie (much as I dislike the guy but I respect what he has achieved) which says..."Attack wins you games but defence wins you titles". And this has been proven true in modern football.
 
SG silaha yake kuwa ni[ilikuwa] energy,lung bursting runs all around the pitch,box to box.....carrick silaha yake ni brain na [long passes] hakimbii kimbii hovyo kama SG.

Hapo kwenye redo unasema uongo, alafu pima nani amecjeza game nyingi
 
Back
Top Bottom