NIlikuwa siamini hii lakini jinsi gundu linavyozidi kusogea chumbani imani inaanza kupotea taratibu, ngoma droo
It is amazing huyu Ngog anafanya nini uwanjani wakati Babel hayupo hata kwenye bench?? Sasa walimnunua pauni mil 11.5 ili iweje?? Nashindwa kumuelewa Benitez.
Nadhani huyo anaonyesha dalili za ustriker zaidi (killer instinct) kuliko babel ambaye zaidi ya kukimbia na mpira jipya alilofanya toka aje, kwenye price tag hapo walichemsha na hivi vimbwanga vya twitter alivyofanya ndio havisaidii kabisaa
Mkuu kwanza hongera kwa kupata hiyo pointi moja leo. Pili, naona sijakuelewa hapo kwenye nyekundu, kwanza ulikuwa hauamini halafu baadae ukaanza kupoteza imani....hii imani inayoanza kupotea imetoka wapi wakati ulikuwa hauamini??!! Au ndio mambo ya kuchanganyikiwa?!
It is amazing huyu Ngog anafanya nini uwanjani wakati Babel hayupo hata kwenye bench?? Sasa walimnunua pauni mil 11.5 ili iweje?? Nashindwa kumuelewa Benitez.
Ukishangaa ya musa utayaona ya firauni, benchi lina 20M pounds midfield wakati Lucy (Lucas) anacheza cinderela uwanjani... halafu 1.5M striker (Ngong) wakati 11.5M quid striker amekaa home anachezea play station... Jamaa kamnunua robbie keane kwa 20M halafu kauza kwa 12; Kamnunua Crouch kwa 12, kauza kwa 7, Kamnunua dossena kwa 6, kauza kwa 3.5
Its a time now Rafa should stop sulking and take Lucy with him to Recreativo Le Huerva
Fvck Rafa cry baby tactics
Subiri MTM aje uone atakavyomtetetea Rafa. Benitez sucks period. Hatuwezi kutembelea historia, Asavali wamchukue Hughes
wakuu nimeangalia mechi yote, tena nikiwa hoi na malaria... kwa kweli timu yetu inahitaji maombi. there was only one move gemu zima, zimepigwa kona 10 stoke na 0 liverpool... shame, shame, shame!!!!
i saw no flow, and then i remember when Salif Diao, Djimi traore, igor biscan, speedy, smicer, finnan and other mediocre players winning us the CHAMPION LEAGUE
Nimekuja kuconclude kwamba liverpool wameshapoteza motivation ya kuvaa ile jersey!!! there is no drive whatsoever and that to be honest has been generating slowly, with Rafa as the originator
Amekuwa anacreate negative atmosphere consistently na imeshaharibu timu!!!
sadly viongozi wanaogopa kupoteza 12-15M pounds lakini hawajui madhara yake ni kupoteza Torres, Gerrard and Reina... shit!!!
Ningepata nauli, ningewaambia yankees wamweke Rafa kwenye three months compassionate leave maana ana huzuni ya kutolewa makombe yote na kuweka Daglish na little Sam hadi May halafu Hiddinks can take it from there
Gamedu we re not walking alone, but we are heading into the tunnel
Well said.
Another thing is that our opponents pray that Benitez stays, so Liverpool can cease to be a top club.
I have my friends who are Manure, Arsenal & Chelski fans, and nowadays laugh at the Mighty Reds, saying their teams' best asset against Liverpool is Benitez!
The fat waiter has to go.