wakuu nimeangalia mechi yote, tena nikiwa hoi na malaria... kwa kweli timu yetu inahitaji maombi. there was only one move gemu zima, zimepigwa kona 10 stoke na 0 liverpool... shame, shame, shame!!!!
i saw no flow, and then i remember when Salif Diao, Djimi traore, igor biscan, speedy, smicer, finnan and other mediocre players winning us the CHAMPION LEAGUE
Nimekuja kuconclude kwamba liverpool wameshapoteza motivation ya kuvaa ile jersey!!! there is no drive whatsoever and that to be honest has been generating slowly, with Rafa as the originator
Amekuwa anacreate negative atmosphere consistently na imeshaharibu timu!!!
sadly viongozi wanaogopa kupoteza 12-15M pounds lakini hawajui madhara yake ni kupoteza Torres, Gerrard and Reina... shit!!!
Ningepata nauli, ningewaambia yankees wamweke Rafa kwenye three months compassionate leave maana ana huzuni ya kutolewa makombe yote na kuweka Daglish na little Sam hadi May halafu Hiddinks can take it from there
Gamedu we re not walking alone, but we are heading into the tunnel