Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Well said Mkuu..

Ila SG was pushed OUT by FSG..
 
Ssa mbna alonso ndie bora aliekamilika kuliko sg na mbaka kwenye acount y tweet y sg kasema alonso ndie pass master wake

Kuna watu wameanza kumuona SG kaisha fika miaka 30 nahisi!
Mwaka 2001 fainali ya Europa League na Alaves huko Dortmund dakika ya 16 SG akiwa na miaka 20 tu alifunga enzi hizo Alonso wala hajaanza kucheza ana miaka 10 na kidogo tu!Huyu mtu hajawahi cheza kombe uwanjani ASIUNGE! MosDef watu hawamjui huyu mtu alipokuwa kwenye mid 20!Niliwahi safiri toka kazini Geita kwenda kumuona Anfield mwaka 2006

Kikosi kilichotwaa Europa cha Liverpool hiki hapa,yuo wapi hapo Alonso?

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="width: 40%"]
GK1 Sander Westerveld
RB6 Markus Babbel
106'
CB12 Sami Hyypiä (c)
CB2 Stéphane Henchoz 55'
LB23 Jamie Carragher
RM21 Gary McAllister
11'
CM16 Dietmar Hamann
CM17 Steven Gerrard
LM13 Danny Murphy
CF8 Emile Heskey 64'
CF10 Michael Owen 78'
GK19 Pegguy Arphexad
DF27 Grégory Vignal
DF29 Stephen Wright
MF7 Vladimír Šmicer 55'
MF15 Patrik Berger 78'
MF20 Nick Barmby
FW9 Robbie Fowler 64'

[TH="width: 25"][/TH]

[TD="colspan: 3"] Substitutes: [/TD]

[TD="colspan: 3"] Manager: [/TD]

[TD="colspan: 4"] Gérard Houllier [/TD]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Last edited by a moderator:
Ssa mbna alonso ndie bora aliekamilika kuliko sg na mbaka kwenye acount y tweet y sg kasema alonso ndie pass master wake

Fainali ya FA na WHU mwaka 2006 tukiwa nyuma kwa bao 3-1 huyu SG alicharuka na kusawazisha na kuwa MAN OF THE MATCH!Ndiyo mechi hii nikiiangalia home Geia nikaapa lzm nikamuone SG kwa macho yangu,nikazichanga na kweli mwezi September nikawa Anfield!

Hii na CL MATCHES zitabaki kama kumbukumbu yangu kwa jemedari huyu alipokuwa na nguvu zake!Mechi hizi zote Alonso alicheza lkn mchango wake haukufikia hata nusu kwa SG aliyeteuliwa man of the match ktk games zote mbili!Na WHU Alonso alitolewa mapema tu

kikosi cha Liverpool na WHU fainali ya FA hiki hapa

GK25 Pepe ReinaRB3
Steve FinnanCB23
Jamie Carragher
62
'CB4 Sami HyypiäLB6
John Arne RiiseRM8
Steven Gerrard (c)
CM14 Xabi Alonso 67'
CM22 Mohamed SissokoLM7
Harry Kewell 48'
CF15 Peter Crouch 71'CF9
Djibril Cissé
Substitutes:GK1 Jerzy DudekDF2 Jan Kromkamp 67'DF21 Djimi TraoréMF16 Dietmar Hamann
118' 71'FW19 Fernando Morientes 48'Manager: Rafael Benítez
 
Fainali ya 2007 Gerrard alifunga goli ?

Nimeshakueleza streghth aliyokuwa nayo Gerrard ni kuwaongoza na ku-motivate wachezaji wenzake.Hii issue wengi wanakuwa blinded na ushabiki.Nakumbuka even fainal ya Instanbul Benitez alicheza blunder kumuweka bench Didi Hamman Liverpool ilikufa kabisa katikati Milan wakafunga goli 3 haraka Rafa aligundua mistake second half akamuingiza Hamman akabadilisha kabisa game ndio akamfanye Gerrard awe free goli zikarudi
 
Reactions: Nzi

By the way hapo nilitaka kuandika "SG akifunga hatukuwahi kupoteza game kwenye fainali"
Belo huyu jamaa kawa man of the match kwenye fainali za Liverpool ina maana zote hizo wanampendelea?Wanao mchagua nao wapo blind?

Huyu katupa ubingwa mara ngapi?Acha hizo mkuu na sichangii tena mada hii!Nenda kwenye archieve kaangalie fainali ya FA mwaka 2003 na Man United ambapo SG yupo kwenye fire alipo waongoza akina Owen!

Thread yetu ya Liverpool sasa tujadili mengine
 
AFC Wimbledon Vs Liverpool

Liverpool:
Mignolet
Sakho; Sktel;Can
Manquillo;Henderson;Lucas;Markovic
Gerrard;Lambert;Coutinho
 
Malafyale umenifurahisha Sana..LFC wamepita kina Daglish, Kina Ian rush etc..lakin when you talk about LFC unamuongelea mtu mmoja tu SG..
 
Last edited by a moderator:
Siamini.kama jamaa anasepa aiseeee MosDef
 
Last edited by a moderator:
Siamini.kama jamaa anasepa aiseeee MosDef

Kaamua kuondoka bhana..

Alistaafu kuichezea ENGLAND ili afocus zaid na LFC, lakin mpaka November last year FSG hawakumpa mkataba wowote ule mpya..

Ameona aondoke tu LFC..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…