Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Captain anaonyesha kiwango cha hatari sana
 
Attachments

  • 1420492942375.jpg
    51.6 KB · Views: 68
SG, kaongeza lingine ila huyu Lambert bora hata Aspas, ngoja nikalale sitaki kuona wakidraw
 
osokonoi we missed you bro!!!!!

Miss you too Mkuu MosDef...sometimes pilika za maisha zinalazimisha kuwa mbali na social networks.

Nimejitahidi kupitia majadiliano...kaka uchambuzi na points zako nazikubali sana

Kazi Buti na wana Liverpool wote tushikamane!!!
 
Last edited by a moderator:

Karibu jamvini tena mkuu!Tupo na Liverpool yetu tunasonga mbele!

SG katuokoa tena na hii ni aibu ingine kwa BR!Walichelewa sana kumpa mkataba mpya wakijiuliza ama wampe au la!Walipo mpa kukawa na kipengele cha SG kutokuwa tena automatic starter na SG akaona hiyo kama ni disrespect

Liverpool sio Barca wala Madrid wala Bayern kweli pale mbele kwenye free role kuna wa kumshinda SG?

Naamini ipo siku tena sio nyingi SG atarudi kama kocha wetu
 
Malafyale umenifurahisha Sana..LFC wamepita kina Daglish, Kina Ian rush etc..lakin when you talk about LFC unamuongelea mtu mmoja tu SG..

Akina John Terry akina Carrick wenye umri sawa na SG wanapewa mikataba mipya sisi tunamuachia SG aondoke?

SG alikuwa bado ana miaka 2 mingine kucheza Liverpool!BR anaogopa SG kumpiku na kuchukua nafasi yake
 
Last edited by a moderator:
Miss you too Mkuu MosDef...sometimes pilika za maisha zinalazimisha kuwa mbali na social networks.

Nimejitahidi kupitia majadiliano...kaka uchambuzi na points zako nazikubali sana

Kazi Buti na wana Liverpool wote tushikamane!!!

Karibu tena brother..

Uchambuzi wako wa kweli kuhusu LFC ulikosekana sana kipindi flani..tuliumiss sana.

karibu tena jamvini tuendelee na LFC yetu..
 
Akina John Terry akina Carrick wenye umri sawa na SG wanapewa mikataba mipya sisi tunamuachia SG aondoke?

SG alikuwa bado ana miaka 2 mingine kucheza Liverpool!BR anaogopa SG kumpiku na kuchukua nafasi yake

nasemaga kila siku humu kuwa LFC tuna Clueless manager!!!!

utamvutia mchezaj gan sahiv pale LFC?? bid za kipuuzi, tunoffer mishahara midogo saana, SG kaleta watu kibao tu pale LFC ili kuja kucheza nae...Now utakuwa hauna SG, hauna Suarez, hauna Agger, hauna Callagher...Long servants wa LFC wanakuwa ni Skritel na Lucas..

Imagine mchezaj avutiwe na Lucas kuja kucheza LFC!!!!! LOL..

tungekuwa tunaoffer na kulipa big wages, Kuondoka kwa SG kusingetuangusha off the Pitch, lakin mishahara yenyewe midogo hii utamvutia nan???...

BR ndo akawavutie World class players??? thubutuuu...kwa profile ipi alyonayo?? unless amwage PESA..

SG hana muda mrefu atarud LFC..

umemsikia Bascombe wa Telegraph? anasema LFC wana line up a loan move kuhusu SG once akishaenda MLS..FSG na board yao wanajichanganya sana!!!

Just Watch SG end up at Etihad..MP anamtaka sana SG..zile zile tu tricks za Sheikh Mansour kuhusu Lampard..
 
BANTER kubwa zaid kuliko yote ni kwamba Kule MLS SG will be captained na Mr. ROBBIE KEANE..

hahahahahahahahahahahaah!!!!

Mpira bhanaa!!
 
I salute you! MosDef the soccer analyst guru!Uliyo andika hapo ni kweli tupu hata Lavezzi hawezi kuja akiondoka SG!Hata the avarage players hawawezi kuja!

Kuja kucheza na Baloteli?
 
Last edited by a moderator:
Brendan Rodgers like a woman,he can't think properly! SG huyo anasepa,Suso nae anaondoka bure! Hana forward wa maana...hivi pale LFC mambo yanaendeshwaje?
 
I salute you! MosDef the soccer analyst guru!Uliyo andika hapo ni kweli tupu hata Lavezzi hawezi kuja akiondoka SG!Hata the avarage players hawawezi kuja!

Kuja kucheza na Baloteli?

kuondoka kwa SG, maana yake ni kwamba CLUB inatakiwa ianze kuspend BIG, angeondoka SG afu labda kocha angekuwa Benitez, MP, JM, Wenger etc, Wachezaji wangeendelea kuvutika..

Asa SG hayupo, una kocha mwenye profile ndogo sana kama BR, unaOffer wages ndogo saaana, kutable bid za maana huwez...UTAMVUTIA NANI??

cha msingi zaid ni kuspend BIG sana..

FSG wanamuona CAN ndo mrithi wa SG, i mean the kid is decent, but tunahitaj more than that Aisee..ndo yale yale ya kujaribu kumreplace Suarez na kina Lambert na MB...
 
Last edited by a moderator:
jamaa alipigana mpaka akapata jezi ya King SG.....

Akinfenwa....Baada ya draw ya FA ambayo ilionyesha LFC will play Against Wimbledon, Jamaa alipagawa sana kwa furaha on twitter..ni shabiki wa LFC to death..

Jana Atakuwa amefurah sana, kuifunga LFC na kupata jersey ya SG...Ndoto zake zishatimia kwa UPANDE wake!
 
Rodgers ni boya sana. Bado ana mentality ya kufundisha timu inayoridhika kuwa mid-table team after those 38 games.
Vipi kumpa masharti magumu Captain Fantastic wakati hana bado worthy replacements?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…