Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SG saved our arses yet again!!!
osokonoi we missed you bro!!!!!
Miss you too Mkuu MosDef...sometimes pilika za maisha zinalazimisha kuwa mbali na social networks.
Nimejitahidi kupitia majadiliano...kaka uchambuzi na points zako nazikubali sana
Kazi Buti na wana Liverpool wote tushikamane!!!
Malafyale umenifurahisha Sana..LFC wamepita kina Daglish, Kina Ian rush etc..lakin when you talk about LFC unamuongelea mtu mmoja tu SG..
Miss you too Mkuu MosDef...sometimes pilika za maisha zinalazimisha kuwa mbali na social networks.
Nimejitahidi kupitia majadiliano...kaka uchambuzi na points zako nazikubali sana
Kazi Buti na wana Liverpool wote tushikamane!!!
Akina John Terry akina Carrick wenye umri sawa na SG wanapewa mikataba mipya sisi tunamuachia SG aondoke?
SG alikuwa bado ana miaka 2 mingine kucheza Liverpool!BR anaogopa SG kumpiku na kuchukua nafasi yake
nasemaga kila siku humu kuwa LFC tuna Clueless manager!!!!
utamvutia mchezaj gan sahiv pale LFC?? bid za kipuuzi, tunoffer mishahara midogo saana, SG kaleta watu kibao tu pale LFC ili kuja kucheza nae...Now utakuwa hauna SG, hauna Suarez, hauna Agger, hauna Callagher...Long servants wa LFC wanakuwa ni Skritel na Lucas..
Imagine mchezaj avutiwe na Lucas kuja kucheza LFC!!!!! LOL..
tungekuwa tunaoffer na kulipa big wages, Kuondoka kwa SG kusingetuangusha off the Pitch, lakin mishahara yenyewe midogo hii utamvutia nan???...
BR ndo akawavutie World class players??? thubutuuu...kwa profile ipi alyonayo?? unless amwage PESA..
SG hana muda mrefu atarud LFC..
umemsikia Bascombe wa Telegraph? anasema LFC wana line up a loan move kuhusu SG once akishaenda MLS..FSG na board yao wanajichanganya sana!!!
Just Watch SG end up at Etihad..MP anamtaka sana SG..zile zile tu tricks za Sheikh Mansour kuhusu Lampard..
I salute you! MosDef the soccer analyst guru!Uliyo andika hapo ni kweli tupu hata Lavezzi hawezi kuja akiondoka SG!Hata the avarage players hawawezi kuja!
Kuja kucheza na Baloteli?
jamaa alipigana mpaka akapata jezi ya King SG.....
Brendan Rodgers like a woman,he can't think properly! SG huyo anasepa,Suso nae anaondoka bure! Hana forward wa maana...hivi pale LFC mambo yanaendeshwaje?
kuondoka kwa SG, maana yake ni kwamba CLUB inatakiwa ianze kuspend BIG, angeondoka SG afu labda kocha angekuwa Benitez, MP, JM, Wenger etc, Wachezaji wangeendelea kuvutika..
Asa SG hayupo, una kocha mwenye profile ndogo sana kama BR, unaOffer wages ndogo saaana, kutable bid za maana huwez...UTAMVUTIA NANI??
cha msingi zaid ni kuspend BIG sana..
FSG wanamuona CAN ndo mrithi wa SG, i mean the kid is decent, but tunahitaj more than that Aisee..ndo yale yale ya kujaribu kumreplace Suarez na kina Lambert na MB...