Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu leta basi hizo polls nyingine tulinganishe. Mimi nimegoogle poll 1 na link 1; sasa leta basi hata poll 1 na link zinazoonyesha Gerrard ni bora kuliko Scholes.

Jamaa wewe bana!
Bao tu walizofunga team ya Taifa zinamdhalilisha Scholes
Games ambazo kaibeba Uingereza zinamdhalilisha Scholes

Mkuu ukiacha EPL titles HAMNA KINGINE chochote ambacho SCHOLES anamzidi SG!Hata O'shea ana EPL titles nyingi zaidi ya SG
 



much respect kwako mkuu
 
Sababu ya SG kamfanya HENDO aende WC na the average Carrick abaki!Bila SG una amini Hendo angechaguliwa mbele ya akina Carrick kwenda WC?

Doh! Wewe kweli mkali....sasa unataka kumlinganisha huyo Henderson "who runs on from his knees, with a straight back" badala ya kukimbia from his hips, na Michael Carrick?!

Naamini unanogesha jukwaa...

Carrick alimiss WC kutokana na msimu mbovu wa United chini ya DM, Liverpool ikawa na msimu 1 mzuri chini ya Suarez na Stoolie...

Ila kama unaona Henderson alivyo sasa ndiyo kabadilishwa na SG, doh, basi kazi ipo!

Nauliza tena, mbona SG kashindwa kumfanya Henderson kuwa Alonso mpya kama SG ndiye 'aliyemtengeneza' Xabi Alonso?
 
Jamaa wewe bana!
Bao tu walizofunga team ya Taifa zinamdhalilisha Scholes
Games ambazo kaibeba Uingereza zinamdhalilisha Scholes

Mkuu ukiacha EPL titles HAMNA KINGINE chochote ambacho SCHOLES anamzidi SG!Hata O'shea ana EPL titles nyingi zaidi ya SG

Ongeeni vyote ila mpaka sasa Scholesy ni bora zaidi ya SG (ushahidi nimeweka baadhi ya poll na links) ambazo washabiki mbalimbali wamepiga kura na kutoa mawazo yao...

Leteni polls na links zinazoonyesha SG ni zaidi ya Paulo....
 
Jamani kila lenye mwanzo lina mwisho,SG alipofikia sasa hivi anapaswa kuondoka maana msaada wake ni mdogo mno na zaidi anasaidia timu pinzani zitufunge!!!!

Kama msimu ulipita ndo mtu aliyetengeneza mazingira tukakosa ubingwa.....
SG JUST GO GO,,,,,,,,
 

so 2010 alivyoitwa Kwenye kikos cha ENG kule South aligusa hata Nyasi za South Africa???

Dah! and i cant believe we're even discussing about Michael carrick Aisee..*Very Average player*

Ndo kama mimi nianze kuwapigia watu makelele kuhusu Lucas Leiva!!!!!
 

Kopite????????
 
so 2010 alivyoitwa Kwenye kikos cha ENG kule South aligusa hata Nyasi za South Africa???

Sijajua umemaanisha nini! Naanza kupata wasiwasi wa uwezo wako wa kusoma mambo! Maana mwanzoni uliweka link ambayo hukuwa umeisoma. Sasa hujasoma na kuelewa post yangu!

Dah! and i cant believe we're even discussing about Michael carrick Aisee..*Very Average player*

Ndo kama mimi nianze kuwapigia watu makelele kuhusu Lucas Leiva!!!!!

Aisee, wewe kweli ni mkali...hivi ni nani aliyeanza kumwongelea pass master (kwenye passing Carrick is better than Gerrard, nasubiri mbishe) Michael Carrick?


Hivi wewe mtu unakumbuka hata post yako ya kwanza kuandika juu ya mjadala huu?
 
Ni ukweli usiopingika kuwa Gerad amekuwa mchezaji muhimu sana wa liverpool kipindi chote alichochezea.

Bado ni mchezaji muhimu lakini ambaye kwa sasa anatakiwa kuwa well managed ili kuhimili vishindo vya ligi ngumu kama epl na aendelee kuwa potential kwenye timu.Tumeona wachezaji wengi ambao baada ya kufika stage kama ya SG makocha wao aidha huwapunguzia mechi au kuwapunguzia majukumu au yote mawili kwa pamoja.Sijaona kama BR kumpunguzia mechi SG amefanya kitu cha ajabu sana.Hata wanajamvi humu baadhi walikiri kuwa timu imekuwa slow this season mara nyingi SG alipokuwepo
Kwahiyo kwakweli SG angekubaliana tu na situation kwa ajili ya timu yake.

Sikutegemea hiyo ndp iwe sababu kubwa ya yeye kuondoka liverpool.Ningemuunga mkono sana kama angeenda chelsea au man city ili ajihakikishie epl ndani ya misimu miwili,yaani kama sio huu basi ujao.

Kumpaisha SG kwa kumshusha Alonso au kumpaisha Alonso kwa kumshusha SG ni kitu nisichokubaliana nacho.

Hiyo ligi kati ya SG na Scholes nani zaidi naendelea kuwasoma wachambuzi.
 

Yeye si legend na mungu wa Liverpool bwana?! Yeye ndiye anapaswa hadi apange timu na kuamua usajili bwana....BR ndiyo nani mbele ya Steven Gerrard?!?

Heshima kwako chifu...unajua washabiki wa Liverpool walivyokuwa wakisema Gerrard amechoka, hafai, hana tena speed, apumzishwe n.k. Lakini leo kuondoka wanaanza kumlaumu BR. Sasa sijui walitaka apangwe muda wote?

Hapa naanza hata kuquestion hiyo loyalty ya SG kwa timu!! Kama angekuwa loyal, basi angekubali kuwa muda wake umefika ukingoni; angekubali kuwa sasa anapaswa kucheza muda mchache; angekubali kuwa mdogo kwa kocha ili amalizie muda wake Anfield; kisha pengine ajiunge na benchi la ufundi ama astaafu soka kabisa.

Kumpaisha SG kwa kumshusha Alonso au kumpaisha Alonso kwa kumshusha SG ni kitu nisichokubaliana nacho. Hiyo ligi kati ya SG na Scholes nani zaidi naendelea kuwasoma wachambuzi.

Heri yako uliyeelewa mantiki ya hoja zangu...sasa nasubiri kupangua jabs za akina MosDef na Malafyale ili nizipangue na kuwapa uppercuts za kuwalaza kabisa....
 
Last edited by a moderator:
Nisamehe kwa kukurupa...

Nielimishe mkuu wangu kilichoisibu LFC mwaka 2009/10..

Nyie watu bado tu mna bishana kuhusu Gerrard na Scholes labda ningesema hivi, Gerrard was purely an attacking midfielder na scholes was a typical defensive midfielder na kila mmoja alikuwa bora katika department yake.

Paul Scholes alikuwa anapeleka timu mbele baada ya dirty work kufanywa na Roy keane,( he was linking the defensive and attacking midfield) while Gerrard was linking the attacking midfield and the attacking lines baada ya dirty job kufanywa na Didi Hamman later mascherano.

Mimi ningependa kuchokoza mbishano wenu kwa kuweka relevant players, who is best Xabi Alonso, Paul Scholes na Xavi hernandez, hawa ndo walikuwa wana role moja linking the defensive and attacking midfield. I stand to be corrected
 
Reactions: Nzi

Kwangu mimi, watu waliyoleta mabadiliko makubwa ni Iniesta na Messi (baada ya kuwa converted na guardiola as a false number 9) akina puyol xavi walikuwepo tangu kwenye late 90's.

Frank Rijkaard na Josep "pep" guardiola hawa kwangu ndo waliyotengeneza barcelona ya mafanikio makubwa, Rijkaard alitengeneza msingi Guardiola akajenga kabisa
 
Reactions: Nzi

Michael Carrick kwenye WC ya 2010 alikuwepo kwenye kikosi cha England lakin hakucheza hata dk 1..

2014 akapigwa CHINI kabisa..

Afu kitu cha msingi ambacho itabid ukijue ni kwamba *only manure united fans rates Carrick*
 

Lakini mkuu....mi naona haya yote umeyataka mwenyewe. Sa umekuja kufanya nini huku sebuleni kwa wanaume umeacha kule kwengine (jikoni kwenu) ambako kauli zenu ziko kwenye the same wavelength??

Mi kule jikoni sijawahi kuingia na wala siendagi kabisa!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…