Hii naona ilinipita aisee....eti unasema SG kacheza games 38? Unaongelea national team ama games za mazoezini?
SG ana caps 114 katika national team...
Sasa ukitafuta average kati ya mechi na magoli inakuja hivi:
PS (caps 66 {dakika 4,896}, goals 14) = 0.2121
SG (caps 114 {dakika 8,743}, goals 21) = 0.1842
Dakika alizocheza PS zinaonyesha yeye alianza games nyingi katika first 11 kuliko SG. Kwani katika mechi 66, kama angecheza dakika 90 katika mechi zote, basi angepaswa kuwa amecheza dakika 5,940. Hivyo, ukitoa katika dakika halisi alizocheza unapata tofauti ya dakika 1,044. Ilhali SG angecheza dakika zote dakika zote 90, angepaswa kuwa na dakika 10,260; ila kutokana na yeye kutoanza kama first 11 kwa sababu mbalimbali (bench, majeraha n.k.) , hivyo yeye ana tofauti ya dakika 1,517 (hizi ndizo alizokaa bench n.k.)...
Sasa tuendelee na 'ubishi' mkuu...na endelea kudhiirisha uweupe wako...hata hufahamu stats za mungu wenu!!
Kwanza katika football hakuna kitu kama Accurancy ya Dk..huwa zinakuwa ni approximation.
Due to the fact that many matches rarely stuck to exactly ninety minutes long, allowing time for injuries, errors and substitutions. The minutes here given can only ever be a guideline and cannot therefore be accurate, only an approximation. So suala lako la dk liweke pembeni..
Afu hapo unaposema kuwa Dk alizocheza Scholes zinaonyesha aliaza kwenye games nyingi kuliko SG, unataka kudanganya watu kulingana na sources zako hizo hizo ulikochukua haya mambo!
afu kitu cha pili me huwa siamini katika Minutes played, kwa kuwa umeonesha utaalamu wako katika kuzichambua minutes, kwa mchanganuo huu ntakaokupa naomba unipe exactly minutes na starts za SG katika England Nation Team (usibase na Wikipedia or some English forums)
SG wanasema ana Caps 114....tuanze..
Katika hizo Cap 114, alikuwa *un-used substitute* mara 12 (games ninazozikumbuka mimi ambazo bwana SG hakukugusa nyasi ni zile za 2000 mpaka alipokuja kumake his debut miaka hyo, 2003, kuna 2008 na mostly friendlies za 2010-2011 alipokuwa ana balaa ya injuries, though alikuwa anaitwa kwenye national team mpaka LFC ikawa inalalamika..*but alikuwa hatumiki*
Pia katika hizo caps 114, He was subbed off mara 53 (mostly katika dk 64, 72, 77, 85 etc)
Katika hizo Caps 114, he was subbed on mara 4 ( mostly katka 80+ minutes)
Yet tunaambiwa aliaza games 110, je wamehesabia na zile *un-used substute*?? Hiz zilimkuta mara nyingi sana when he was trying to break into the national team na kipind cha 2010's alipokuwa anahangaika na sindano za kupunguza maumivu..
Kwa mujibu huo mdogo zinakujaje dk 8, 743?? (Kwa mujibu wako) manake stats za English team zinasema ni dk 8, 725..(kwann kuwe na utofauti na za kwako?)..je hizo un-used subs na minutes ambazo alikuwa subbed off zinahesabiwa???
Je mtu ambaye ana apps 66 na starts 64, atakuwaje na minutes 4,896???, ikiwa tu mtu mwenye apps 63 na starts 62 ana minutes 5560??? Mnapataje hizo minutes?? Na games ngap ambazo PS alikuwa subbed off???..ni game ngap ambazo alikuwa ni *un-used sub?*
Carrick ana Caps kama 31 but chini ya McClaren na Errkson kwa pamoja Carrick aliaza games si chin ya 8 or 9 if am not mistaken (nakubali masahihisho)...na despite ya kuitwa kuna games kibao hakucheza kabisa...so hapo tunahesabiaje minutes???
Naomba unipe mchanganuo...
Afu reality check nyingine ni kwanga SG kacheza team ya Taifa Miaka 14.. Since 2000 mpaka aliporetire...PS kacheza miaka 7 tu, kastahafu akiwa na miaka 29..(and sadily you know the reason) so lazima Caps zitofautiane tu..
Naomba unipige msasa kwenye minutes..