Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Msimu uliopita kuna mtu alithubutu kumfananisha BR na Diego Simione, tena alienda mbali na kusema BR ni bora zaidi.
 
Msimu uliopita kuna mtu alithubutu kumfananisha BR na Diego Simione, tena alienda mbali na kusema BR ni bora zaidi.

Papaa Diego Simione ni namba ingine kabisa ndugu yangu!Liverpool ya Suarez,Dan na SG ya mwaka jana Simione anachukua ubingwa bado mechi mkononi!
 
Simon Mignolet
Momo Sakho,Alberto Moreno,Martin Skrtel
SG,Hendo,Lucas,Emre Can.
Coutinho,Borin,Markovic

Sterling HAYUPO hata bench sijui kwa nn
 
Simon Mignolet
Momo Sakho,Alberto Moreno,Martin Skrtel
SG,Hendo,Lucas,Emre Can.
Coutinho,Borin,Markovic

Sterling HAYUPO hata bench sijui kwa nn
dogo yupo jamaica anakula bata.
images
 
Dakika ya 3 Liverpool wamenyimwa penalty ya wazi kabisa
Markovic kaangushwa refa kapeta
 
Dakika ya 9 Markovic karudi tena,anafunga bao saafi
Liverpool 1 Sunderland 0
 
Hakika Liverpool kwenye kiwango chake

SG anapiga vizuri keeper anaokoa,dakika ya 22
 
Moreno alimuacha mtu mbaya sana kwenye age ya 18 ya Sunderland,Vergin anapata kadi ya njano dakika ya 28
 
Dakika ya 29 ohhhh My God Markovic anapiga vyema sana inagonga mwamba kuw akona
 
Back
Top Bottom