Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Dakika ya 34 kadi ya njano Sunderland back kwa kumkwatua kwa nyuma SG
 
Dakika ya 36 Hendo anagonga mwamba jamani
We have to take this chances tunakosa bao za wazi sana
 
Half time 1:0
Liverpool is far better side,walitakiwa sasa tuwe hata 4-0
 
Huyu aliye ingia Lovren tunapigwa!Sijaona sababu yyt ya kuingia huyu jamaa!

SG kakosea wapi?
 
Sunderland wanakosa bao la wazi kabisa,pamoja na kuwa pungufu sasa wanatawala dimba!
Kutolewa kwa SG ni balaa kwetu hapa
 
Hakika Sunderland watasawazisha
Kumtoa SG aliyekuwa ana tunza mipira kumuingiza Lovren ili tulinde hili bao 1 haku make any sense
 
Dakika 15 za mwanzo ingawa Sunderland wapo pungufu bali ndiyo bora uwanjani
 
Sunderland wanatengeneza nafasi zaidi na zaidi,just a matter of time kusawazisha
BR is out of ideas
 
Liverpool wanapata kona,dakika ya 63 lkn Lovren anakosa anapiga kichwa fyongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…