Kweli asee.... huyu BR mpaka kuna wakati namwombea kifo chema....Mtatoka salama msijali point 3 zenu.....embu rudi kule kwenye salaam hapa utapata presha tu mtani.
Lolote liaweza tokea dada
Full time Liverpool 1 Sunderland 0
Team nzuri sana HAINA kocha!
Hongereni sana watani wangu Ed n Edd nEddy wapiiii uko?? Sikuoni.....
Waaaow!! Ahsante sana my dear.... leo uje kitaa cha Tegeta nikunyweshe bia mpaka zikuombe poo.
Ambaye ni????Nakuja chap chap nilienda zenj maramoja kushuhudia nani kaingia fainali
Deluded loserfools singing 'Markovic will be better than Di Maria'....
Ambaye ni????
Natamani Mtibwa awe kanyolewa ili ndoo iende Msimbazi kwa baraka zote