Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Mhhh!! Mtibwa Wameingia fainali mpendwa....tuombe simba tu nao watie timu....
Ombi lako limesikika. ni swala la muda tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhhh!! Mtibwa Wameingia fainali mpendwa....tuombe simba tu nao watie timu....
Unakuja kwenye thread yetu unaanza kututusi bila sababu za msingi!
Hauna hoja kwa kweli!
Hahahaha!!! Loh! Bora umepona usawa huu ungevunja kiuno mbona nomaa.....
Leiva yupo poa Sana in recent weeks
Wapi nimekutusi chifu wangu?!
Jamani huyu suso ni majeruhi ama? Mwenye taarifa anijuze, naona hata benchi wanawekwa watu wa ajabu hata siwaelewi
Lazar markovic