Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Jamani huyu suso ni majeruhi ama? Mwenye taarifa anijuze, naona hata benchi wanawekwa watu wa ajabu hata siwaelewi
 
Ile volley yake ingeingia ndani...ndo lingekuwa goal of the season...

BONGE YA VOLLEY..
 
We had good performance in the first 45 minutes, the second half was shambolic we had no desire to go forward its like we settled for a 1 goal win, no urgency, no pace though Markovic looked determined Borini was awful. What matters is 3 points, 5 points adrift the 3rd placed
 
Leiva yupo poa Sana in recent weeks

Mkuu, yupo vizuri nilipiga kelele kipindi flani huyu jamaa apate playing time kwenye ile defensive midfield, ni kama BR anaondoa wale wachezaji aliyowakuta wote angenezee timu yake kabisa. Midfield yetu ilikuwa kama nyanya vile maana SG alikuwa hapigi buti hata ku frighten opponents kama anvyofanya Lucas Leiva.

Borini, kuwa uchezaji wake si wa kupewa free role kwenye attacking maana hawezi kujitengenezea chances for himself na wengine kama walivyokuwa wanafanya Suarez na Sturridge, anataka atengenezewe kila kitu kama balotelli ndo maana wanshindwa kufit kwenye mfumo wa liverpool, Lambert alikuwa anafit kabisa ila ni dead wood, no pace.
 
Jamani huyu suso ni majeruhi ama? Mwenye taarifa anijuze, naona hata benchi wanawekwa watu wa ajabu hata siwaelewi

Suso anajiandaa kwenda MILAN AC muda wowote kuanzia sasa mkuu
BR kocha wa ajabu sana,utamuacha vipi Suso umbakize Borin?
 
Tots,WHU,Man City na Newcastle WOTE wame drop points leo
Kesho Man United,Arsenal na Saints watadondosha points pia

Hatupo pabaya,mechi 4 tumeshinda tatu,sio mbaya hata kidogo
Upadate ya SG jamani pls!Hamstring ipo level gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…