miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
Shaka ondoa, hapa ndo juu ya kiringe chenyewe!
Nimefika nashukuru sana ..
Look
Karibu sana hapa,jisikie huru kabisa kutoa mawazo au maoni kuhusu The Greatest Soccer Club in mankind history-Liverpool.
Hapa kwetu kuna demokrasia ya freedom of writting.Hapa hatuminyi haki za wengine kama kule Darajani ambapo Ntuzu au agosti 8 au Manumbu au kalon lzm UWAOMBE ruhusa ili uandike chochote hata kama ni positive kuhusu club yenu!
Hapa sio kama kwenye jamvi la Man U ambapo kuandika lzm uwe approved na RRONDO au Nzi! Hapa kuwa huru sio kama lile jamvi la akina Mentor au Wacha 1 ambao huko kwenye jamvi lao ni kama Miungu Watu hawapingwi kwa lolote lile
Karibu sana dada na anza kutiririka!Ukipata nafasi kufika Ikwiriri nitafute japo nikufungie samaki vibua ukafanye nyumbani kitoweo
huna hela ..... tunakufungaWe mke wangu unatafuta nini huku? Unakuja kujipa plesha kwa kushabikia timu ya kawaida!
mke wangu njoo kule kwa chelsea mamito..............alafu ujue nimekumiss sn na leo nakuja hapo kwenu ukinifunga ujue ndoa yetu inakufa.
mume wangu ni kweli nampenda ila siku hizi simuoni... drogba wamemuweka bench etiBasi mkuu uwe unasema ukweli ata km ukiona mwanamke..........sasa unamtia makamba yote hayo kwasababu umeona mwanamke? Huyu miss chagga darajani ni nyumbani kwake kwasababu mimi mme wake niko pale alafu huyu mke wangu anampenda sn Claudio Makelele..........muulize uone atakavo kujibu.
miss chagga ujue nimekumiss sn....
huna hela ..... tunakufunga
mume wangu ni kweli nampenda ila siku hizi simuoni... drogba wamemuweka bench eti
Drogba alikua majeruhi kidogo lkn tayari ameanza kufanya mazoezi na timu ila ktk mchezo wetu na nyie leo sizani km ataweza kucheza.............kwahiyo unampenda sn Drogba kuliko mimi mumeo?
Basi tutaona nani atamfunga mwenzake leo na ukinifunga tu walahi unipe talaka......
steven gerad hivi bado yupo?
nakupenda wewe ila drogba kikubwa.. yani leo liverpool morinyo atachezea kiuno... si najua zetu za mbio mpaka ulimi nje mnatoa
Hahahahaaaaaa aya mke wangu kipenzi tutaona hio badae.
Yule mzee wa kuteleza aliewakosesha ubingwa msimu uliopita.............yupo sn kajaa tele.
sawa badae mda wa mechi
everlenk hawa Losers lazima niwapige hapo hapo kwao leo..............we kaa utulie utaona sisi ndo the blues mamito.Wazima wote humu,hongereni kwanza kwa ushindi mfululizo atleast lakini bado mmeng'ang'ania kuwa mtaa wa 8,Leo ndo leo siku ya hatumwi mtoto dukani ni nani mbabe leo? Ni LVP or The blues,haya mimi ntakuwa pembeni nawasindikiza watani wangu na kikombe cha kahawa na popcorn za kutosha,kila la heri watani wangu natumai mcheza kwao hutunzwa hivyo hamtawaangusha mashabiki wenu.
Cc: Malafyale Ed n Edd nEddy Asprin EMT